Bado Makamu wa Rais Philip Mpango yuko ofisini?

Bado Makamu wa Rais Philip Mpango yuko ofisini?

Bwashee, hivi huyu jamaa ameshasimamia usafishaji wa ofisi ya makao makuu tangu ile skendo ya uchafu wa kutisha ilipoibuliwa na kukichafua chama? Nauliza swali kwa nia njema tu!
Turudi kwenye ripoti ya CAG
 
Halafu anavyojifanya mtu wa dini na ka sauti ka upole, Sasa hizo Hela si apeleke kigoma?

Ataondoka katika nafasi yake akiiacha kigoma masikini ya kutupwa.

Ila wapigaji wote korona iliwasokota, Mpango aliyoka na drip mkononi huku analia mbele ya waandishi wa habari.
Kwani mnapowalaumu hawa wengine huyu Samia mnamuacha wapi?
 
Kama Philip Mpango bado yuko offisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.

Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.

Na sijaelewa Dotto alie kuwa Latibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Seseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.

Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.
Mkuu
Tupe usuli zaidi mkuu. Ilikuwaje mpaka akateuliwa VP wwkati CV inanukia ufisadi?
 
Waziri wa fedha wakati wa Magufuli alikuwa ni picha tu katika kusimamia matumizi. Mtu aliyekuwa na nguvu ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hazina Bwana Dotto James.

Dutto James ambaye ni mtoto wa dada wa Magufuli alikuwa na nguvu kuliko waziri. Hata Dr Philip Mpango alikuwa anajuwa nguvu za Dotto James. Muacheni Mpango achape kazi
Aisee
 
Kama Philip Mpango bado yuko offisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.

Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.

Na sijaelewa Dotto alie kuwa Latibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Seseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.

Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.
Wengine Hawa hapa 👇
Screenshot_20230410-195122.jpg
 
Bungeni waliwahi sema kuwa kuna watu wakiguswa nchi haitakalika
 
Kama Philip Mpango bado yuko ofisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.

Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.

Na sijaelewa Dotto aliekuwa katibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Sseseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.

Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.
Umesahau mama alikuwa makamu wa rais
 
Samiah aondoke ofisini. Unampaje ujaji mtu mwenye kashfa ya ufisadi?.
 
Back
Top Bottom