BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Acheni Watu wachape Kazi
Bwashee, hivi huyu jamaa ameshasimamia usafishaji wa ofisi ya makao makuu tangu ile skendo ya uchafu wa kutisha ilipoibuliwa na kukichafua chama? Nauliza swali kwa nia njema tu!
Waziri wa fedha wakati wa Magufuli alikuwa ni picha tu katika kusimamia matumizi. Mtu aliyekuwa na nguvu ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hazina Bwana Dotto James.Kama Philip Mpango bado yuko offisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.
Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.
Na sijaelewa Dotto alie kuwa Latibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Seseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.
Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.
Ongea kwa utuo ndugu,kwa faida ya watanzania,unaongea kwa kasi kiasi kwamba wengi kama sio wote umetuacha.Tupe wazo ili na wengine tuweze kuwa na mchango wa manufaa kwa taifa letu.Kama Philip Mpango bado yuko offisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.
Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.
Na sijaelewa Dotto alie kuwa Latibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Seseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.
Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.
Chuki syndome in operation.Kama Philip Mpango bado yuko offisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.
Philip Mpango akiwa Waziri wa Fedha ana husika moja kwa moja na ufisadi wa TRC, sasa kama ataendelea kuwepo offisini ni bora mjadala ufungwe huu tutafute kazi zingine za kufanya.
Na sijaelewa Dotto alie kuwa Latibu mkuu Wizara ya fedha anaweza vipi kuendelea kula mishahara wakati ana pesa kuliko alizo kuwa nazo Mobutu Seseko au Mejor General San Abacha wa Nigeria.
Hawa wanapaswa kuwa wako ndani na ikibidi wanyongwe.
Chadema ichafuke kwa mambo ya kutungwa na vijana dhaifu waliopigwa chini na kukimbiwa na wake zao ?Bwashee, hivi huyu jamaa ameshasimamia usafishaji wa ofisi ya makao makuu tangu ile skendo ya uchafu wa kutisha ilipoibuliwa na kukichafua chama? Nauliza swali kwa nia njema tu!
Acha kuhamisha magoli. Tunafahamu mafisadi wanaolindwa ni fisadi la msoga na vibaraka wake kina january upara, napi, yule msomali, migulu machemba pamoja na huyo bibi yenu mliemweka hapo kama kivuli cha raisKama Philip Mpango bado yuko offisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears.