Bado Makamu wa Rais Philip Mpango yuko ofisini?

Bwashee, hivi huyu jamaa ameshasimamia usafishaji wa ofisi ya makao makuu tangu ile skendo ya uchafu wa kutisha ilipoibuliwa na kukichafua chama? Nauliza swali kwa nia njema tu!
Turudi kwenye ripoti ya CAG
 
Kwani mnapowalaumu hawa wengine huyu Samia mnamuacha wapi?
 
Mkuu
Tupe usuli zaidi mkuu. Ilikuwaje mpaka akateuliwa VP wwkati CV inanukia ufisadi?
 
Aisee
 
Wengine Hawa hapa 👇
 
Bungeni waliwahi sema kuwa kuna watu wakiguswa nchi haitakalika
 
Umesahau mama alikuwa makamu wa rais
 
Samiah aondoke ofisini. Unampaje ujaji mtu mwenye kashfa ya ufisadi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…