Bado Makamu wa Rais Philip Mpango yuko ofisini?

Kama Philip Mpango bado yuko ofisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na hadharani anakuja na kilio cha Crocodile tears...
Sasa Mpango ajiuzuru vipi bila Samia naye kujiuzuru?Hao yote dugu moya!
 
Lkn ndugu zangu ni kwamba mzilankende aliendesha hii nchi kama familia yake. Kila pahala alikuwa akitoa amri tu bila kufuata kanuni, taratibu na sheria.

Hivi ungekuwa wewe mleta mada ungefanya nn ktk mazingira kama hayo?
 
No no no Philip Mpango hausiki kamwe,hicho ni kichwa kizuri.mno .msitoke nje ya reli, wezi wapo shughulikeni nao.huko nyuma enzi za Nyerere na Mwinyi kidogo na Mkapa, katibu wakuu principle Secretary walikuwa waadilifu sana wakifuata taratibu zote za matumizi ya fedha.

Sasa baada ya kuwa permanent secretary wanekuwa nao wanasiasa.Zamani katibu mkuu anakaa wizarani watu hawamjui na wala press wanakuwa hawana haja nae,leo ndio wanasiasa wakubwa. Rais tubadilishe mfumo turudi tulivyokuwa.

tbatenga@yahoo.com
 
Pamoja na kelele nyingi kuhusu ufisadi, changamoto kubwa ni kwamba wanasiasa huona tatizo likiwa upande wa mahasimu tu na hivyo kuwalinda wale walio upande wao.
Ukifanyika utafiti, hata awamu ya tano mambo yataonekana hivyo hivyo, ndiyo sababu leo tunasikia habari za pesa za plea bargaining, ndege, SGR n.k.
Kwa sababu ya ujinga, baadhi ya wananchi pia hutetea au kuwaponda viongozi bila facts.
 
Wew Ww ndio kiazi kabisa.Unaleta siasa za uchadema na uact za kudeal na watu badala ya kudeal na team work.Kama Kuna matatizo wote ndani ya ofisi wanaeajibika.Sio kuchagua watu.
 
Acha kuhamisha magoli. Tunafahamu mafisadi wanaolindwa ni fisadi la msoga na vibaraka wake kina january upara, napi, yule msomali, migulu machemba pamoja na huyo bibi yenu mliemweka hapo kama kivuli cha rais
Magu yeye akuwa mwizi?kuwa na akili kilicho muweka samia ikulu ni katiba sio Kikwete itamchukia bule
 
Fupa limetupwa kwa makatibu wakuu wa wizara na watendaji wakuu wa mashirika ya umma ili kuwaondoa wale untouchables kwenye huu msala, kama vipi mama aipotezee tu mazima sisi wadanganyika kama kawaida yetu tupo tayari kupokea na kuvumilia uozo wowote ule kutoka kwa wa-twawala.​
 
Bwashee, hivi huyu jamaa ameshasimamia usafishaji wa ofisi ya makao makuu tangu ile skendo ya uchafu wa kutisha ilipoibuliwa na kukichafua chama? Nauliza swali kwa nia njema tu!
Ina husiana vipi na poat yangu? Uchafu wa offisina report ya CAG zina uhusiano? Kichwani kwako kuna mavuzi au Ubongo?
 
Mwenye kosa hapo ni rais.kwa nini haya yote yatokee?Inamaana anaongozaje sasa?Hii ni dalili kuwa kazi imemshinda,bora ajiuzulu ili aje anayeweza kuwashughulikia kama alivyokuwa yule mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…