ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
wakati mwenzake ana Goli 5 yeye ana Red Card!La Pulga baba lao..
Goli tano tayari, hapo Christina atakuwa anaumia roho kinyamaaaaaaaaaa
Team Christina mpooo?
Si hivyo mbaga Jr, inapendeza mchezaji bora aonyeshe umahiri wake uwanjani!me nadhani nia ya mtoa mada ni kutaka kuona mchezaji bora wa dunia awe anacheza pekee yake dhidi ya timu mpinzani iliyotimia wote 11.
au basi tuseme ukiwa mchezaji bora wa dunia, kocha wako hana uwezo wa kukufundisha tena.
Nilishasema King Messi asilinganishwe na wachezaji wa zamani, juzi na wa sasa,...inshort hana mpinzani....itachukuwa karne nyingi mno mno kumpata mbadala wake....
Kabisa aise, karibu sana msemaji wa trump...Ile Game Bila Messi Barca Wangekaa
Ukweli Lazima Usemwe
Tena wasimfananishe na michezaji ya zamani na ya sasa, hiki kiumbe ni balaaMessi kiumbe sayar nyingne ile jitu
Tena wakome narudia wakome nakazia tena wakome kumfananisha na wachezaji wa zamani na wa sasa ambao hawana uwezo hata robo.Tena wasimfananishe na michezaji ya zamani na ya sasa, hiki kiumbe ni balaa
Umenena kamanda,wataisoma nambaTena wakome narudia wakome nakazia tena wakome kumfananisha na wachezaji wa zamani na wa sasa ambao hawana uwezo hata robo.
CRISTIANO RONALDO NDO BABA YAOKwa aliyebahatika kutazama game ya barca na Spurs atakuwa shahidi,
Sijui ni vipi fifa wanapanga vigezo kumpata mchezaji bora
Nimemuangalia Luka Modric Ktk game mbili ambazo zote Real Madrid kupoteza nimeshindwa kabisa pata jawabu. Hivi kweli mchezaji bora hata. Mwezi haujatimia tangu atangazwe kuwa ni bora eti anatolewa dakika ya 70 na Timu ipo nyuma kwa magoli?
Juzi kwenye Uefa Modric anaanzia sub?
Kweli huyu Modric alibebwa na Timu lakini yeye kama yeye.. Mh hapana
Bado La Pulga atawaburuza saana View attachment 886023View attachment 886024
Sema nyumbani kwenu,Duniani Ni Cr7 tuSimwoni mchezaji wa kumzidi huyu kiumbe kwa sasa
We akipata mpira unaangalia anachokifanya hadi unasisimka mwili!
Hapana la pulga kweli ni mchezaji bora Wa wakati wote duniani