Bado Messi Anasimama Kuwa Mchezaji Bora Zaidi Duniani Kwa Sasa

Bado Messi Anasimama Kuwa Mchezaji Bora Zaidi Duniani Kwa Sasa

Hayo ni mahaba yako tu kwa huyo dogo maana hata mke wa Dr. Remmy Ongala aliamini mumewe ndiye handsome kuliko wanaume duniani.
Tofautisha wachezaji wa zamani na wa sasa, hakuna hata mmoja aliyemfikia Messi...si maradona wala pele....nasema hivi hakuna hata mmoja wa kumlinganisha na huyu mfalme. Ni wa kipekee....
 
Mchezaji bora wa club ile ile moja tu,kwa kigezo hicho mimi kwangu ubora wake ni hadi akafanye mambo kwingineko mbali na alipokulia,hoja hii mashabiki wake huyu nesi huwa mishipa ya shingo inawatoka sana kumtetea ila kiukweli kwangu mm hata afanyeje bila kutoka kwangu sioni ubora wake,ova
Ni kwako tu, kwa wengine wanamtambua ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea katika soka...wakina Diego,alfredo de stefano,pele,puskas,eusebio,zidane,cr7,batistuta,de lima,requelme and gaucho..wote hawa wamepita but wataendelea kuwa chini kwa huyu kiumbe Messi....tena msirudie kumcompare na vitu vya kijinga mkuu.
 
Ni kweli,hayo ni mawazo yng na hata hao uliowataja ni mawazo yao pia,na wao sio Mungu,mawazo yng yatabakia pale pale mkuu
 
Watanzania bwana muda wore pumba na ushindani,ukiwaona wanajadili utadhani wana akili kumbe ni chuki huyu akimchukia huyu anamponda huyu.Wanapenda fitina sana,
 
Kwa aliyebahatika kutazama game ya barca na Spurs atakuwa shahidi,
Sijui ni vipi fifa wanapanga vigezo kumpata mchezaji bora
Nimemuangalia Luka Modric Ktk game mbili ambazo zote Real Madrid kupoteza nimeshindwa kabisa pata jawabu. Hivi kweli mchezaji bora hata. Mwezi haujatimia tangu atangazwe kuwa ni bora eti anatolewa dakika ya 70 na Timu ipo nyuma kwa magoli?
Juzi kwenye Uefa Modric anaanzia sub?
Kweli huyu Modric alibebwa na Timu lakini yeye kama yeye.. Mh hapana
Bado La Pulga atawaburuza saana View attachment 886023View attachment 886024

Usisahau pia alicheza na spurs iliyokuwa dhaifu
 
Lionel Andreus Messi is ever exceptional player under the sun
 
Lionel Andreus Messi is ever exceptional player under the sun
Messi ni mchezaji wa kipekee kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka....walipita wakina Diego, Pele, Stefano, Puskas, Zidane, Requelme, Redondo, Zidane, Gaucho, Batistuta na De lima...but mfalme ni mmoja tu ulimwenguni na itachukuwa karne nyingi mno kumpata mbadala wake au asipatikane kabisa...KING MESSI/LA PULGA
 
Mesi ni mzuri kwenye klabu bora kama ya Barca kwa sababu kazungukwa na rundo la wachezaji bora kama akina Rakitic, Busquets. Atoke pale acheze timu ya Taifa au akacheze na timu ya kawaida uone atakavyokuwa wa kawaida tu
 
Wanaosema Mesi mchezaji bora wa nyakati zote wakapimwe mikojo ili tujue miaka yao ya kuzaliwa na wameanza lini kushabikia mpira. Huwezi mlinganisha Mesi na Maradona au Pele, hao wengine unaweza lakini sio Maradona na Pele

Maradona kaifluence timu ya Taifa, Barcelona yenyewe na Napoli wakati huo kakiwa katimu ka hovyo
Hata Delima tu anampita Mesi ambaye hakuonekana hata mara moja kwenye kombe la dunia wakatu delima kawika karibu mara 3 akiwa mfungaji bora kwa kufunga mabao 15. Mesi hakuna kitu pale. Vijana mnapagaishwa na dribles na chenga za Messi. Chenga nzuri ni zile zenye kuleta impact kwenye timu yako
Msiende mbali, Cristiano mwenye kamzidi Messi mbali sana kwenye ufungaji wa clabu na timu ya Taifa. Na zaidi ya yote kamzidi kwenye ufungaji wa magoli kwenye ligi kubwa za Ulaya tatu tofauti

Mimi nikimrank Mesi namuweka kwenye nafasi ya tano baada ya Pele, Maradona, Ronaldo Delima na Cristiano Ronaldo na ukikataa uje na data hapa usije na mahaba
 
Mesi ni mzuri kwenye klabu bora kama ya Barca kwa sababu kazungukwa na rundo la wachezaji bora kama akina Rakitic, Busquets. Atoke pale acheze timu ya Taifa au akacheze na timu ya kawaida uone atakavyokuwa wa kawaida tu
Mnaozungumza kuhusu kuhama timu, huwa siwaelewi hata kidogo...Messi kakutana na ligi mnayodai ni ngumu duniani premier ligi na kawaburuza kama kawa...Arsenal kambamiza, Man U kambamiza, Chelsea kambamiza, Man city kambamiza, Tottenham kambamiza..sasa unataka akutane na timu gani zingine ambazo ni ngumu zaidi ya hizo?? PSG nao kawapiga, Bayern kawapiga n.k....huwa hamkosagi vimaneno dah!
 
Mesi ni mzuri kwenye klabu bora kama ya Barca kwa sababu kazungukwa na rundo la wachezaji bora kama akina Rakitic, Busquets. Atoke pale acheze timu ya Taifa au akacheze na timu ya kawaida uone atakavyokuwa wa kawaida tu
Haya maelezo hata mtoto wa darasa la 2 atakucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom