Weka mahaba pembeni halafu uje na data. Kwa data zipi Mesi anakuwa mchezaji bora wa nyakati zote. Ingekuwa haya ni mambo ya dini wewe ungeingizwa kwenye kundi la watu wanaokufuruHaya maelezo hata mtoto wa darasa la 2 atakucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hayo ni mahaba yako tu kwa huyo dogo maana hata mke wa Dr. Remmy Ongala aliamini mumewe ndiye handsome kuliko wanaume duniani.
Messi hayupo vizuri golini??Kwa wasiomfahamu huyu Busquets inakadiriwa kuwa ndie kiungo bora duniani kwa sasa na ndie anayemchezesha Messi na forward wengine waonekane wazuri. Nakubali Mesi ni mzuri kuliko Ronaldo kwenye kukaa na mpira na kuassist wenzake. Anaweza kutafuta mipira na kuchen ga lakini akifika golini, CR7 nio bora zaidi ya Messi
Hao akina Pele na Maradona walikuwa wazuri kuliko mesi katikati ya uwanja na golini na ndio inayowapa kuwa wachezaji wazuri wa nyakati zote kwenye na 1 and 2
NO THE ONLY KING OFF ALL THE TIME UNDER THE SUN IS CRISTIANO RONALDO MNYAMA/Cr7Messi ni mchezaji wa kipekee kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka....walipita wakina Diego, Pele, Stefano, Puskas, Zidane, Requelme, Redondo, Zidane, Gaucho, Batistuta na De lima...but mfalme ni mmoja tu ulimwenguni na itachukuwa karne nyingi mno kumpata mbadala wake au asipatikane kabisa...KING MESSI/LA PULGA
Benson nilijuwa utatokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NO THE ONLY KING OFF ALL THE TIME UNDER THE SUN IS CRISTIANO RONALDO MNYAMA/Cr7
Labda ameanza kutazama mpira hizi siku mbiliMessi hayupo vizuri golini??
Upo serious mkuu??
Umevuka mpaka aise [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wasiomfahamu huyu Busquets inakadiriwa kuwa ndie kiungo bora duniani kwa sasa na ndie anayemchezesha Messi na forward wengine waonekane wazuri. Nakubali Mesi ni mzuri kuliko Ronaldo kwenye kukaa na mpira na kuassist wenzake. Anaweza kutafuta mipira na kuchen ga lakini akifika golini, CR7 nio bora zaidi ya Messi
Hao akina Pele na Maradona walikuwa wazuri kuliko mesi katikati ya uwanja na golini na ndio inayowapa kuwa wachezaji wazuri wa nyakati zote kwenye na 1 and 2
Magoli ya Messi siku zote mazuri na yameenda shule....Mnamzungumzia tu mess jaman mbina hata hapa kwetu tunao angekua mess ndio kafunga goli kama lile la ajibu ungeona jinsi watu wanavyo mpuliza utaskia akrobatik sijui nini
Unataka kunambia katika magoli yenye ubora la ajibu haliwezi likawekwa,?Magoli ya Messi siku zote mazuri na yameenda shule....
CR7 kacheza ligi mbili kubwa za ulaya na kuwa mfungaji bora, tunategemea pia huko Serie A ataibuka mfungaji bora. Ronaldo kafanya vizuri na timu yake ya Taifa kwa kubeba kombe la ulaya 2016. Tusubiri na umri utuambie, CR7 anaweza kucheza mpaka 40+. Mesis kashachoka hata ndevu kukata hawezi tena, ataishia 33 or 34 kuweza kuchezea timu kubwa za Ulaya.Tatizo autoi fact za mimi ili nimkubali Messi ,but Mimi nakupa fact za king Cr7 na umeanza kumkubali.
Mkuu unamfahamu Paolo Maldini aliyechezea AC Milan, Ryan Giggs wa Man Utd au unaongea usichokijua?CR7 kacheza ligi mbili kubwa za ulaya na kuwa mfungaji bora, tunategemea pia huko Serie A ataibuka mfungaji bora. Ronaldo kafanya vizuri na timu yake ya Taifa kwa kubeba kombe la ulaya 2016. Tusubiri na umri utuambie, CR7 anaweza kucheza mpaka 40+. Mesis kashachoka hata ndevu kukata hawezi tena, ataishia 33 or 34 kuweza kuchezea timu kubwa za Ulaya.
Messi ni mchezaji pekee nyota wa dunia kucheza ligi moja, timu moja tangu soka lianzishwe duniani. Ajabu sana
La ajib sijaliona mkuu, ila nachotaka kukuambia magoli ya Messi siku zote mazuri..na hakuna anaeweza...Messi ni kipaji bwana.Unataka kunambia katika magoli yenye ubora la ajibu haliwezi likawekwa,?
Hapana but huo ndo ukweliBenson nilijuwa utatokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuna goli zuri hapa Duniani ka acrobatic ya Cr7Magoli ya Messi siku zote mazuri na yameenda shule....