Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Bila kuwasahau GSM kwa kuwezesha usajili mzuri kabisa wa akina MayeleeeeMuwashukuru Azam kampuni.Mlikuwa mnaletewa hadi mikate na maji msipige kelele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kuwasahau GSM kwa kuwezesha usajili mzuri kabisa wa akina MayeleeeeMuwashukuru Azam kampuni.Mlikuwa mnaletewa hadi mikate na maji msipige kelele.
Ndio hata Manara tuna muita zungu poriNaomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
Soka la Bongo limejaa ubabaishaji mwingi na hasa timu za Yanga na Simba.Usajiri wetu umeegemea sana kwenye kufurahisha mashabiki... Viongozi wamekaa kienyeji sana Sio Simba au yanga upumbavu tu..
Yani ubabaishaji tu... Kama unajua mpira hzi timu zote ni utoporo tuSoka la Bongo limejaa ubabaishaji mwingi na hasa timu za Yanga na Simba.
Taaluma haipotei. Alisimama peke yake huku upande wa mashtaka kukiwa na watu watano, akawashinda kwa hoja. Bado ni wakili msomi tu. Kwani Kibatala akihamia CCM uwakili msomi utaisha?Naomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
Vipi kuhusu jina la 'wakili msomi', mtaliendeleza?Unajua utopolo wapumbavu sana ndio maana mnaokota okota wachezaji tuliowatema 😀😀😀 kuna yule beki nghana tukimtema mkamchukua Morrison tulimyakuwa kwenu akiwa hot tumeamtumia tumemtema mnamchukua . Yaani mnajaribu kweli kuwa kama sisi lol
Tunawapa nyie ni wenu sasaVipi kuhusu jina la 'wakili msomi', mtaliendeleza?
We nae kuwa km mtu wa soka, release letter bila mkataba kuisha? Mnashindwa nn kwenda kukaa mezani na simba? Km aliwaaburuza nyie huko CAS sio sisi, hata yeye anajua pia hilo ndo maana katulia kimyaaa.Kwa sasa wanamuogopa kama ukoma. Ukitaka kugombana nao, wewe waambie tu wampe huyo wakili msomi wao ile release letter yake!
Unajua utopolo wapumbavu sana ndio maana mnaokota okota wachezaji tuliowatema 😀😀😀 kuna yule beki nghana tukimtema mkamchukua Morrison tulimyakuwa kwenu akiwa hot tumeamtumia tumemtema mnamchukua . Yaani mnajaribu kweli kuwa kama sisi lol
tulipowapora alikuwa hot commodity sasa hivi kwishna tunamtema mnamchukua 🙂🙂 Yaani pamoja na kashfa na dharau alizowaonyesha bado mnamyenyekea . Hayo mambo simba hatuwezi fanya poleniMorrison akiwa HOT...?
Msimu huu amemaliza ligi akiwa ana magoli machache kuliko Shaban Djuma.
Sizitaki mbichi hizitulipowapora alikuwa hot commodity sasa hivi kwishna tunamtema mnamchukua 🙂🙂 Yaani pamoja na kashfa na dharau alizowaonyesha bado mnamyenyekea . Hayo mambo simba hatuwezi fanya poleni
kwa vipi wakati tumemuacha wenyewe?Sizitaki mbichi hizi
mmemuacha au njaa ya huko imemkimbiza?kwa vipi wakati tumemuacha wenyewe?
Pesa unalipwa kwa mchango wako kwa timu goli moja msimu mzima alafu unataka top dollars 🙂🙂🙂 labda utopoloni sio Simba .mmemuacha au njaa ya huko imemkimbiza?
alitaka kusaini mkataba lakini badala ya hela kuongezeka kwenye mkataba mpya ikashushwa akaona hapa naweza kufa njaa
unakumbuka siku ile ya birthday yake alitoa namba yake watu wamchangie walau buku buku au makolo mmesahau?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app