Bado mnamwita Wakili msomi?

Morisone aliwashinda Uto CAS pamoja na kufanyiwa umafia na Simba walipomchukua huku akiwa anamkataba Uto.
 
Simba siyo timu ya vichaa .Vichaa wako utopoloni . Vichaa wataendelea kutimuliwa bila kujali kiwango cha ukichaa wa mtu ili warudi kwenye timu ya vichaa wenzao huko utopoloni.

Manara +morisoni+mwakalebela +Mashabiki wake vichaa= vichaa fc
 
Kwa sasa wanamuogopa kama ukoma. Ukitaka kugombana nao, wewe waambie tu wampe huyo wakili msomi wao ile release letter yake!
 
Kwetu sisi kwa kuwa tuna viongozi wenye akili nyingi kwenye nyanja za Sheria na ndio maana tumegoma kumpa barua aliyoitaka sio wakili msomi,ila kwenu nyie bado ni wakili msomi
 
Morrison lilikuwa pandikizi letu pale ukoloni, mission accomplished anarudi nyumbani
 
Naomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
Taaluma haipotei. Alisimama peke yake huku upande wa mashtaka kukiwa na watu watano, akawashinda kwa hoja. Bado ni wakili msomi tu. Kwani Kibatala akihamia CCM uwakili msomi utaisha?
 
Vipi kuhusu jina la 'wakili msomi', mtaliendeleza?
 
Kwa sasa wanamuogopa kama ukoma. Ukitaka kugombana nao, wewe waambie tu wampe huyo wakili msomi wao ile release letter yake!
We nae kuwa km mtu wa soka, release letter bila mkataba kuisha? Mnashindwa nn kwenda kukaa mezani na simba? Km aliwaaburuza nyie huko CAS sio sisi, hata yeye anajua pia hilo ndo maana katulia kimyaaa.
Msubiri mkataba uishe, mnamchukua tena bureeee. Wasi wsi wenu nn?
 

Morrison akiwa HOT...?

Msimu huu amemaliza ligi akiwa ana magoli machache kuliko Shaban Djuma.
 
Morrison akiwa HOT...?

Msimu huu amemaliza ligi akiwa ana magoli machache kuliko Shaban Djuma.
tulipowapora alikuwa hot commodity sasa hivi kwishna tunamtema mnamchukua πŸ™‚πŸ™‚ Yaani pamoja na kashfa na dharau alizowaonyesha bado mnamyenyekea . Hayo mambo simba hatuwezi fanya poleni
 
tulipowapora alikuwa hot commodity sasa hivi kwishna tunamtema mnamchukua πŸ™‚πŸ™‚ Yaani pamoja na kashfa na dharau alizowaonyesha bado mnamyenyekea . Hayo mambo simba hatuwezi fanya poleni
Sizitaki mbichi hizi
 
kwa vipi wakati tumemuacha wenyewe?
mmemuacha au njaa ya huko imemkimbiza?
alitaka kusaini mkataba lakini badala ya hela kuongezeka kwenye mkataba mpya ikashushwa akaona hapa naweza kufa njaa

unakumbuka siku ile ya birthday yake alitoa namba yake watu wamchangie walau buku buku au makolo mmesahau?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Pesa unalipwa kwa mchango wako kwa timu goli moja msimu mzima alafu unataka top dollars πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ labda utopoloni sio Simba .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…