Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa moja acha unafiki sio tabia ya kiume...then mfuate mwambie ulishaacha!!!
Pole, ni kipindi chako cha kuumia.
Kubaliana nacho tu, ndo ushabwagwa tena.
Jiweke bize kupunguza muda wa kukaa aido.
Kama una kazi, kama unasoma, kwa kifupi divert nguvu za mapenzi kwenye kitu kingine.
Hakuna dawa ya kuumia moyo, ni muda tu.
Japo tunatofautiana, wengine hupona kwa mwezi, wengine mwaka, wengine miaka.
Kama ni mwamini, jitolee kazi za huko unakoamini, mradi uwe busy, ukikimbilia mahusiano mengine unaweza umia zaidi na kuumiza mtu mwingine bila sababu.
Pole, maumivu ya moyo yashinda msiba source banana zoro
Una miaka mingapi?