Bado nampenda sana

Bado nampenda sana

da Hustla ina maana hii hii ninayoijua mimi au? km ni maana hii niijuayo mimi huyo mwanamke ingekuwa tayari siku nyingi umeshatupa kureeeeeeeeeeeee!
 
Story yako kama yangu vile! Yalinitokea nikachanganyikiwa sana, gals sio watu wazuri dawa yao uwe nao wengi. Binafsi nimestaafu kwa muda, nadhani after 5yrs nikiwa na 30yrs ndio nitafikiria hayo mambo
 
Pole, ni kipindi chako cha kuumia.
Kubaliana nacho tu, ndo ushabwagwa tena.

Jiweke bize kupunguza muda wa kukaa aido.
Kama una kazi, kama unasoma, kwa kifupi divert nguvu za mapenzi kwenye kitu kingine.

Hakuna dawa ya kuumia moyo, ni muda tu.
Japo tunatofautiana, wengine hupona kwa mwezi, wengine mwaka, wengine miaka.

Kama ni mwamini, jitolee kazi za huko unakoamini, mradi uwe busy, ukikimbilia mahusiano mengine unaweza umia zaidi na kuumiza mtu mwingine bila sababu.

Pole, maumivu ya moyo yashinda msiba source banana zoro

Hata akijiweka bize usiku unamsubiri tu, atahesabu makenchi weeee hadi basi!!! Labda mmshauri namna ya kuji-keep busy usiku!
 
Back
Top Bottom