Pole, ni kipindi chako cha kuumia.
Kubaliana nacho tu, ndo ushabwagwa tena.
Jiweke bize kupunguza muda wa kukaa aido.
Kama una kazi, kama unasoma, kwa kifupi divert nguvu za mapenzi kwenye kitu kingine.
Hakuna dawa ya kuumia moyo, ni muda tu.
Japo tunatofautiana, wengine hupona kwa mwezi, wengine mwaka, wengine miaka.
Kama ni mwamini, jitolee kazi za huko unakoamini, mradi uwe busy, ukikimbilia mahusiano mengine unaweza umia zaidi na kuumiza mtu mwingine bila sababu.
Pole, maumivu ya moyo yashinda msiba source banana zoro