Uncle Mabiki
Member
- Sep 22, 2018
- 77
- 77
Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake.
Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu mdogomdogo kitabu kidogo.,sasa kipindi nakuja dar Kuna dada yangu huwa yupo kinondoni mkwajuni mara nyingi nilikuwa napenda sana kufikia kwake na hata siku za weekend nilikuwa napenda kwenda Ile ijumaa nalala mpaka jumapili ndo narudi zangu chuo, chuo nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja nilikuwa nasoma nae coz moja,alikuwa ni mrembo mwenye umbo Fulani hivi,yeye alikuwa mtu wa singida,kama unavyojua watu wa singida walivyojaaliwa,.
Basi yule Binti alikuwa mtu poa sana alikuwa akiitwa moni,cheupe hivi kwa mbali,
Sasa Kuna siku kwenye mwezi wa sita mwishoni hivi,kipindi hicho tunakaribia kufanya mtihani wa chuo kwaajili ya kwenda field,niliamua kwenda kwa dada yangu wa kinondoni kukaa kwa siku mbili hivi ndo nirudi chuo.
Basi ijumaa mapema kwenye saa 5 asubuhi nilimaliza kipindi changu pale theater 2 chuo,nikaamua kwenda pale utawala na kuchukua gari za kwenda mawasiliano ili nikifika pale nichukue gari ya kwenda Morocco nishukie kinondoni, kwenye begi langu nilibeba kabisa nguo za kubadili siku mbili.
Nilivyofika nilimkuta dada yangu na kumsalimia ,ameniacha miaka mitatu hivi,ni dada yangu mtoto wa mama yangu mkubwa
MIMI: Dada mambo
Dada: Safi dogo mzima wewe
MIMI : dogo wapi Mimi kaka yako
Dada :awapi we mdogo wangu
MIMI: Haya bana,junior Yuko wapi(*junior ni mtoto wa dada)
Dada: Ameenda kucheza
MIMI: Sawa dada
Baada ya hayo maongezi niliingia chumbani na kucheza game kidogo kwenye simu (dream league 2018) baada ya hapo nikalala,niliamka mida ya saa 11 ,nikasikia kelele za watoto sebuleni wakiangalia movie ,ikanibidi nitoke kwenda sebuleni.kufika sebuleni nikachagua kochi la mwisho kwenye Kona nikakaa,pale kulikuwa na watoto wa jirani walikuwa na yule junior,kwa upande mwingine nikamwona huyo sumaiya ambae amebeba story nzima hii,
Nilikuwa simfahamu hata jina ,ila alivyogeuka kuniangalia nikamjua kwa sura maana mara mojamoja huwa namkuta kwa dada.
kisura hata umbo alikuwa Bado mdogo,maana alikuwa yupo chini ya miaka 18,sema kalivyonitazama shetani akaniingia ghafla,nilipata mshituko moyoni,sasa ikawa Kila akiniangalia namimi namkata jicho,lile jicho la msisitizo Fulani hivi,kenyewe kakawa bize na movie,basi siku hiyo niliishia tu kumtazama.
Mara nyingi huwa nikienda kwa dada watoto wote pale walikuwa wanapenda kuniita uncle mabiki,sasa Ile kesho yake asubuhi nikawa nawaza yule mtoto akija Leo lazima niseme nae,ilikuwa jumamosi hiyo,hata kabla sijamaliza kuwaza mtoto sumaiya nae kafika,mkononi alikuwa kabeba CD ya movie ya kihindi,kufika pale,nilikuwa nimetoa kiti nje,akanisalimia
Sumaiya: Shikamoo uncle mabiki
Mimi: Nikawaza kidogo kumbe ananifahamu,nikamjibu marahaba hujambo
Sumaiya : Sijambo
Akawa kaingia ndani,namimi nikaingia zangu ndani,dada alikuwa mtu wa kutumia simu sana,muda wote alikuwa chumbani kwake,nikamkuta pale sumaiya sebuleni,Mimi huku kijasho kinanitoka nikamuuliza mbona huweki CD yako
Sumaiya: Naiweka nilikuwa naangalia tangazo la Sultani Leo usiku Azam
Mimi:Weka tuione,wewe unapenda sana movie eeh
Sumaiya: Ndio sana
Akawa anaiweka pale CD,Mimi ikabidi nimuulize hivi upo form ngapi,maana alikuwa ni mdogo kimtazamo
Sumaiya: Nipo form 2
Mimi : Shule gani
Sumaiya: Jangwani
Moyo ukapiga paah,yani niwe na mahusiano na mwanafunzi tena kipindi hicho Cha Magu,na vipi kuhusu dada atanichukuliaje,wakati najiuliza hayo sumaiya na yeye akaniuliza nawewe uncle mabiki unasoma wapi,nikawaza nimjibu nipo chuo au
Mimi: mi nipo nasoma dar secondary pale,nikamdanganya nione,akajibu awapi akati dada anasema tusome tufike chuo kama wewe,ikabaki najiuliza kumbe sumaiya kaanza kunifahamu muda.
Tulicheki movie hiyo siku sikutaka kabisa hata kutoka sebuleni nikiwaza naanzaje kwa haka katoto,aisee ghafla tu nilitokea kukapenda sana hata moni nilimsahau kabisa kwa siku Moja tu,.
Ilifika mida ya saa 2 ,najua huu ndo mda huwa anaondoka sumaiya,ikabidi nitoe kiti nje,maana ndani alikuwa na dada pia pale sebuleni anaangalia movie,kukaa kidogo,sumaiya na yeye akatoka,akaniaga
Sumaiya:Kesho mi naondoka uncle mabiki
Mimi:Moyo ukapiga paah,nikamuuliza mbona mapema hivyo
Sumaiya:Usiku sahivi nawahi kuandika notes
Mimi:Halafu Kuna kitu naomba unisaidie
sumaiya:Kitu gani
Mimi: Kuna simu ndogo nimekuonana nayo ndani ni yako
Sumaiya:Ndio ni yangu
Mimi: nikawaza mtoto wa form 2 anasimu,nikamwambia unaweza nisaidia namba yako
Sumaiya: Sawa
Akatoa simu yake Tecno 321 kasimu kadogo akanambia andika yako,nikachukua nikaandika nikamrudishia,muda wote alikuwa anatabasamu tu
Je NINI kitatokea baada ya kupeana namba ?
#SEHEMU YA PILI
Baada ya kuondoka sumaiya niliingia zangu bafuni nikaoga nikisubiri anicheki nimwage yangu ya moyoni.
Ikafika saa 3 hajanicheki,ikafika saa 4 kamili hajanicheki,nikajisemea moyoni au nimeyakanyaga,ila nikajipa moyo ngoja nisubiri.
Dakika kumi mbele text ikaingia namba ngeni
Namba ngeni: Mambo
Mimi: safi nani?
Namba ngeni: Mimi sumaiya
Mimi: Yani wewe,muda wote huo ndo unanicheki sahivi
Sumaiya:Si nilikuambia Nina kazi ya notes
Mimi : pole umemaliza
Sumaiya: ndio teyari
Mimi : Sawa,vipi lakini shemeji mzima(ikabidi nianze kujilipua kwa mtoto wa form 2)
Sumaiya: Tena hata sitaki kukumbuka
Mimi:nikawaza mtoto mdogo teyari kashaumizwa,nikamuuliza hutaki kukumbuka nini
Sumaiya: Ukweli nilivyotoka hapo rafiki yangu alinipigia simu akanambia boi wako yupo na mwanamke mwingine anakucheat ikabidi niende na rafiki yangu
Mimi: nikajiwazisha hili napigwa,kwahiyo ikawaje
Sumaiya:Nimemkuta kweli na mwanamke mwingine Tena rafiki yangu nasoma nae,imeniuma sana
Mimi: Pole sana,sumaiya,kwahiyo hutaki Tena kupenda
Sumaiya: Sidhani kama nitakuja kupenda Tena
Mimi: nikaamua palepale kujilipua,na sikutaka kujizungusha sijui nini Wala nini,nikamjibu ila Mimi nakupenda
Kukawa kimya hajibu sms,dakika ishirini zikapita,nikaanza kuogopa si unajua kutongoza mwanamke kama unampenda achana na kumtamani
Ikabidi nitume sms za kuomba samahani,samahani sumaiya kama sms yangu mbaya nilikuwa nakutania tu,Wala sijamaanisha,naona kimya hujibu sms Tena,nikawa nawaza vipi akimwambia dada,si aibu hii,Kuna muda akili inarudi ila muda mwingi niliwaza kumpata tu,nilimpenda bana ingawa mtoto
Kama dakika 5 hivi,akajibu
Sumaiya:Sorry my ,nilikuwa naongea na simu,yule mshenzi nilomfuma Leo eti kanipigia analia ananiomba msamaha,dada yake na yeye kanipigia simu
Mimi: nikasema moyoni,mbona kaniita my, nikamuuliza kwahiyo umemsamehe
Sumaiya : Siwezi kamwe kashajiharibia
Mimi:Mpaka dada zake wanakujua
Sumaiya :Ndio mpaka mama yake
Mimi: nikawa nawaza sijui niliendeleze nilivyomwambia nampenda,nikapiga chini,nikamwambia msamehe bana
Sumaiya: Siwezi Yani hata aende kwa mganga,
Mimi : Haya bana,wanawake wazuri aga hamjui kubembeleza
Sumaiya: Mi sio mzuri bana,yeye tu hajaniheshimu
Mimi: Sawa nikuache upumzike sumaiya
Sumaiya : Poa have a nice night my
Mimi: nikawaza mbona ananiita my,nikamjibu nawewe pia mke
Sumaiya:Mke?
Mimi:Lile wazo la kuendelea kumtongoza likarudi Tena,ndio mke,mtu kapata nafasi ya kuwa na mwanamke mzuri kama wewe halafu anaichezea,natamani hiyo nafasi ningeipata Mimi
Sumaiya:Wanaume wote ni walewale tu
Mimi:ikabidi nianze swaga za uongo na kweli, Sumaiya Mimi nakupenda sana,toka nilivyokuja dar mwaka 2015 sijui ulikuwa Shule ya msingi,nilikupendaga sana,mpaka Leo hii nakutamkia umekua mkubwa nakupenda Bado sana,
Sumaiya: mmmmh we umenipendea nini
Mimi: alivyojibu hivyo nikajua teyari mtoto wa form 2 kanasa, nikamwambia Cha kwanza tabia yako nzuri,uzuri wako aisee nakupenda
Sumaiya: Sawa Asante my
Mimi : kwahiyo umekubali sumaiya tuwe wote
Sumaiya:Usijari nitakujibu kesho
Je sumaiya alijibu nini tukutane SEHEMU YA TATU
www.jamiiforums.com

Bado nampenda Sumaiya ingawa nimeshaoa - True Story
Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...