Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
Pole kwa changamoto na Hongera sana Msomi kwa kupambana hadi kupata Degree pamoja na kuwa na utayari wa kufanya kazi yoyote,naomba kukutafuta PM japo sina mchongo wowoteWakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia
Naweza kufanya mahakamani,kwenye law firm mbalimbali,etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania
Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection ntashukuru
Kua jobless sio kazi nyepesi wakuu
Prosperity96
Bandar Abbas
Fanya Jambo MkuuMr Loya mwanasheria msomi nyinyi ni watu wa critical reasoning na research unakosaje ishu ya kufanya mtaani?
SAUT mkuu
naomba kujua why ulijua tu?Nilijua tu, anyway maisha mema. Legal officer.
Mkuu Prosperity96 pm yangu haifunguki naona ni tatizo nimeweka email yangu hapo juuFanya Jambo Mkuu
Thanks mkuuMungu akujalie upate ajira mkuu
Jitahidi Kupita na huko Ajira PortalWakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.
Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania.
Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection ntashukuru.
Kuwa jobless siyo kazi nyepesi Wakuu.
Prosperity96
Bandar Abbas
Jitahidi kupita na huko Ajira PortalWakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.
Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe internship au vyovyote na mahali popote Tanzania.
Kwa yoyote atayeguswa hata kwa connection ntashukuru.
Kuwa jobless siyo kazi nyepesi Wakuu.
Prosperity96
Bandar Abbas
Sawa shukrani piaJitahidi Kupita na huko Ajira Portal
Jitahidi kupita na huko Ajira Portal
Shukrani nimepata pakuanzia mkuuChukua michongo hii ifuatayo:-
1. Nenda CMA au Ofisi ya kazi tega pale kuna watu wanafukuzwa kazi kila siku sio lazima uwe Wakili kumwakilisha mfanyakazi CMA mfano kujaza CMA F1 ni Tsh. 50000 kwa Dar es Salaam.
2. Nenda kwenye viwanda vya wachina waambie wewe ni mwanasheria unaweza kuwasaidia kwenye kazi zao
3. Unajua kuandika sababu za rufaa? Kwenye kesi za civil na criminal? Kuandika written submission? Pita mahakama mfano za mwanzo watu wanakuwa hawajaridhika na maamuzi so hapo weka mazingira mazuri na watu wa mapokezi kwenye mahakama watakusaida.
NB Kwenye Sheria kuna kazi ila ajira hakuna.
Ndio mkuu Nina bachelor tu muhuri sijapata ndo maana unaona sijajiajiriMwanasheria unakosaje kazi? Au unataka kuajiriwa
BrilliantChukua michongo hii ifuatayo:-
1. Nenda CMA au Ofisi ya kazi tega pale kuna watu wanafukuzwa kazi kila siku sio lazima uwe Wakili kumwakilisha mfanyakazi CMA mfano kujaza CMA F1 ni Tsh. 50000 kwa Dar es Salaam.
2. Nenda kwenye viwanda vya wachina waambie wewe ni mwanasheria unaweza kuwasaidia kwenye kazi zao
3. Unajua kuandika sababu za rufaa? Kwenye kesi za civil na criminal? Kuandika written submission? Pita mahakama mfano za mwanzo watu wanakuwa hawajaridhika na maamuzi so hapo weka mazingira mazuri na watu wa mapokezi kwenye mahakama watakusaida.
NB Kwenye Sheria kuna kazi ila ajira hakuna.
Unamfundisha kuwa kishoka .tuki mshika atajuta aende law schoolChukua michongo hii ifuatayo:-