Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
- Thread starter
- #41
Kazi kweli kweli tupambane mkuu poleMi nna mwaka wa Saba huu, sielewi mbivu na mbichi!! Kikubwa tusikate tamaa tuu!! Mi nipo field nyingne lakn..
Japo kwa Sheria inawezekana ukawa karibu karibu na mahakama! Usikae Mbali Mbali na mahakama inawezekana ukawa unajipatia japo Senti za nauli na kula