mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Muwe mnaangalia na majina mnayojipa pengine ndio mwanzo wa nuksi na mazonge,eti "Rocco Sifredi" yaani wewe ni mtu muhimu ila unajipa majina ya wacheza ngono tena wazibua mitaro,hata ukiipata hiyo kazi wateja wako watakuwa salama kweli!!?? Kifupi wewe ni mwanasheria uliyeathirika na picha za ngono hivyo hata kama tuna firm zetu tunaogopa kukupa kazi maana majina yanaumba