Bado natafuta kazi

raees

Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
43
Reaction score
46
Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
 
Upo wapi na mawasiliano yako yapo wapi?
 
Wakuu bado sijapata kazi ambaye ataweza kunisaidia anisaidie kazi yeyote nafanya
 
Wadau bado nakaribisha wenye connection ya kazi wanipatie bado sijapata
 
Wanajukwaa bado natafuta kazi mwenye connection anisaidie please 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…