Ccm haina uwezo wa kujenga ofisi. Hizo ni pesa na miradi ya umma ambayo ipo kwa kivuli cha CCM. Zote hizo zinatakiwa kureheshwa serikalini.Mbowe anakula hela za ruzuku za Chadema.
CCM inajenga mpaka ofisi za chama za kata na mitaa.View attachment 1570730View attachment 1570732
ZA makalio...Mbovu kulinganisha na zipi?
So ndio kusema tukimchagua Lissu hamtajenga hilo daraja,at least watu wake Mwanza na kanda ya ziwa mjionee,maendeleo yakiletwa huko yanapingwa!
Ni nini inakuja akilini baada ya kusoma hii thread,kazi kwenu.
Mnataka Mbia ila mkiambiwa mlipe toll charges km pale kigamboni mnanung'unika au mnadhani huyo mbia ata recover vp pesa yake?..hakuna anayesema kwamba maendeleo yasipelekwe kanda ya ziwa.
..hoja hapa ni hizo billioni 700 zitumike ktk mradi mmoja wa daraja, au zitumike ktk miradi mingi zaidi ya maendeleo.
..kwa maoni yangu, serikali itafute MBIA ktk ujenzi wa daraja ili iweze kutumia fedha zitakazobaki kutatua shida na changamoto nyingine za wananchi wa Geita, Mwanza, na kanda ya ziwa.
Mnataka Mbia ila mkiambiwa mlipe toll charges km pale kigamboni mnanung'unika au mnadhani huyo mbia ata recover vp pesa yake?
Watanzania bana kila kitu maneno, ukifanya maneno...usipofanya meneno..ukifanya the way they want maneno.
Kigamboni Panton si walikua wanalipia na bado wanalipia, daraja limejengwa then wakaanza kunalalamikia tozo za darajani, kifupi Binadamu hajawahi kuridhika...kwani huko pantoni wanalipia au ni bure?
..kama hizo pantoni ni bure then upo uwezekano wa wananchi kulalamikia tozo za kutumia daraja.
Kigamboni Panton si walikua wanalipia na bado wanalipia, daraja limejengwa then wakaanza kunalalamikia tozo za darajani...kifupi Binadamu hajawahi kuridhika...
Kwa mfano wako huu pale busisi au kigamboni njia ya bure ni ipi? Ili daraja liwe la kulipia...kunatakiwa kuwe na njia / barabara ya bure.
..halafu kunatakiwa kuwe na njia ya kulipia ambayo ni ya daraja la juu kuliko ile ya bure.
..kwa mfano, daraja la coco beach Dsm wanaweza kulifanya liwe la kulipia, kwasababu kuna njia ya bure ya kupitia daraja la salender.
Kwa mfano wako huu pale busisi au kigamboni njia ya bure ni ipi? Ili daraja liwe la kulipia.
Tushawajua,am sure mtataka maendeleo yawe kaskazini tu,hata kusini wataskizia maendeleo kaskazini tu...hakuna anayesema kwamba maendeleo yasipelekwe kanda ya ziwa.
..hoja hapa ni hizo billioni 700 zitumike ktk mradi mmoja wa daraja, au zitumike ktk miradi mingi zaidi ya maendeleo.
..kwa maoni yangu, serikali itafute MBIA ktk ujenzi wa daraja ili iweze kutumia fedha zitakazobaki kutatua shida na changamoto nyingine za wananchi wa Geita, Mwanza, na kanda ya ziwa.
Hili la busisi linaunganisha mkoa gani na mkoa gani?? Usije ukawa unaongea wakati jiografia ya Eneo husika hujui!!Ubongo wako ushughulishe kidogo hivi wewe na akili zako hujui humuimu wa daraja linalounganisha mkoa mmoja na mkoa mwingine,kwanini lakini chadema mnakuwa nyumbu hivyo ,kabla ya swali lako ungejiuliza umuhimu wa madaraja yafuatayo:nyerere la kigamboni,kikwete la malagarasi,mkapa la rufiji,wami la mto wami na maeneo hayo yote yalikuwa na vivuko kabla ya ujenzi wa madaraja hayo.
Tushawajua,am sure mtataka maendeleo yawe kaskazini tu,hata kusini wataskizia maendeleo kaskazini tu.
Hilo daraja kanda ya ziwa linawauma sana.
Tunawazoom tu na ubaguzi wenu.
Sio mkoa tuu ni adi nchi inaonganisha.Hili la busisi linaunganisha mkoa gani na mkoa gani?? Usije ukawa unaongea wakati jiografia ya Eneo husika hujui!!
Sio mkoa tuu ni adi nchi inaonganisha.
Kama wewe si mkazi wa kanda ya ziwa huwezi kuona umuhimu wa hili daraja. Juzi nimepita pale Busisi nilikaa masaa matatu kwa sababu ya foleni kutoka Sengerema kwenda Mwanza.
Naamini hili daraja litakuwa mkombozi wetu especially tunaotumia hii barabara. Litakuwa kiungo muhimu sana kuunganisha mikoa ya pembezoni Kigoma, Kagera, Geita na Mkoa wa Mwanza.
Mwisho wa siku kila mtu ana mawazo/maoni yake kuhusu gharama za huu mradi. Lakini mimi nashauri tujikite kwenye gharama na wala si umuhimu wa hili daraja. Umuhimu wake ni mkubwa sana!
Hilo daraja lina faida kubwa sana kuliko unavyofikiria maana linaweza hata kutumika kama kivutio cha watalii kumbuka watalii huwa ni kama watoto wanapenda sana kushangaa shangaa