Billioni 700 unaweza kujenga vivuko 20 vya billion 5 kila kimoja.Billioni 700 ni makusanyo ya kodi kwa mwezi moja tu, Tanzania ni tajiri nchi hii inaweza kutumia kadiri inavyoweza kutokana na jinsi inavyopata mapato yake. So long as that bridge benefits the people of the united Republic of Tanzania, I wouldn't care less. Pesa za mboga tu hizo.
Pia unaweza kujenga vyuo vya Veta 10 kwa bilioni 10 kila kimoja.
Baada ya hapo unabakiwa na billion 500 za kusambaza maendeleo ktk ukanda mzima wa ziwa.
Waswahili walijisemea, kupanga ni kuchagua.