Bado natafuta mpenzi (awe Daktari, Nurse with Degree, Mwalimu au mtu wa Finance)

Sure thing , love doesn't ask way
 
Good comment, though[emoji1374]
 
... too much grammatical errors.
Though he tried his best to express himself. Uzuri wa lugha yoyote cha muhimu ni kuelewana!
Hebu weka cha kwako kisicho na grammar errors, Mrs Perfect[emoji28]
 
Mkuu,
Tafsir Kwa faida ya UMMA[emoji851][emoji851]
Huyo bwana anataka Mwanamke mwenye nia ya dhati ya kuingia kwenye mahusiano na mwenye heshima anayejua kinachofuata baada ya mahusiano.


Vigezo vya kitaaluma vya mwanamke anayemtaka;

1. Awe anaongea Kiingereza kilichonyooka.

2. Awe Nesi (mwenye elimu ya shahada ya kwanza) au

3. Awe Mhasibu. Au

4. Awe Mwalimu (Mwenye Shahada ya kwanza).


Vigezo vyake yeye binafsi;
Anao umri wa miaka 45.
-Mkiristo.
-Urefu wake Cm 175.
- Uzito wake kilo 73.
-ana rangi ya Kahawia.
-elimu yake chuo kikuu.


Vigezo vya jumla vya mwanamke anayemtaka;

-asipungue umri wa miaka 26 ya kuzaliwa.
-Dini (Mkiristo/Muislamu).

-Awe na elimu ya Shahada ya awali au stashahada katika fani alizozitaja.

-Awe anatoka katika nchi za; Tanzania, Rwanda, Somalia/Ethiopia, Burundi, Congo au Malawi.

-Kama ni single mother asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.

Mwisho,
Mwenye vigezo tajwa na mwenye uhitaji wa kweli amemualika PM.
 
Asante sana mkuu tumelisaidia taifa🤓

Wasalaam
Kwa Sasa +267
 
[emoji1374][emoji1374]
 
Dah! Una masharti mengi kweli kama ya mganga halafu kama uliwasomesha wewe. Cha kufanya tafuta mtu umsomeshe apate hivyo vigezo then uje umuoe.

Hautaki wasioelewa kingereza wasije wakati kichwa cha habari kipo kwa kiswahili?
 
At 45 bado hujaoa? Au unatafuta wa kukupa joto kwenye uzee wako😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…