Worry not my frend😂😂 Hicho cha mahaba si haba. Sasa nataka kile chenyewe cha kuongea mbele za watu bila kutoka majasho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Worry not my frend😂😂 Hicho cha mahaba si haba. Sasa nataka kile chenyewe cha kuongea mbele za watu bila kutoka majasho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayaa weh!!! Okay you will get it soon because only if you want to get married I give you advise, no rules love is love and it is less , when you find your true love no education,nothing it's just you and for her only . Comes to mentioning I want that I want this life is to be free and live the way you want to live no complain
I blame where you come from[emoji3529]Dah! Una masharti mengi kweli kama ya mganga halafu kama uliwasomesha wewe. Cha kufanya tafuta mtu umsomeshe apate hivyo vigezo then uje umuoe.
Hautaki wasioelewa kingereza wasije wakati kichwa cha habari kipo kwa kiswahili?
Amechoka wachunaji so nani atakuja na wote hawana vigezo vya juu mtu ana degree ya miaka 3 udaktari ni miaka kumi .Jamaa kaweka criteria kama maombi ya kazi😄🤓
Parfect comboAmechoka wachunaji so nani atakuja na wote hawana vigezo vya juu mtu ana degree ya miaka 3 udaktari ni miaka kumi .
Ingine nimchungu,selfish
Sasa kama wewe ndio mkalimani si nimekwisha🙆🙆🙆🙆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huyo!!!
Mimi kichwa kimeniuma...
Ila mwenzangu wewe kwa Kinge sikuwezi....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia..Sasa kama wewe ndio mkalimani si nimekwisha[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Nenda hospitali,benki utakutana nao tu kirahisi kabisa na wanatamani sana kuolewaWanajamvi, narudi kwenu!
Guys, I have been specific and decided not write in Swahili, to get the right person. I guess by this, only interested parties will come to my PM. You don't meet the qualities, but understand what I am writing, you are highly welcome to my PM.
I need a SERIOUS respectful woman, who knows what she is after in a relationship. She should understand English fluently.
- She may be a DOCTOR (human doctor, i.e.)
- NURSE with a degree
- FINANCE person
- TEACHER with degree
I am
- Man 45 yrs
- Christian
- 175 cm tall
- 73kg weight
- Chocolate color
- Education...University
Looking for a LADY:
- Not less than 26 yrs.
- Christian/Muslim.
- Education (degree/diploma) in the mentioned fields
- Strictly from Tz, Rwanda, Somalia/Ethiopia, Burundi, Congo or Malawi.
- If kidded, should be 1 only
Not interested in anybody's opinion, because the choice is mine, till I get what I want.
Kindly, do not come to my PM if you ain't the target. If you feel there is something special about you, that I should have considered, that might end up matching you and I, come to my PM.
I only welcome really NEEDY ladies, not players, casuals...ooh, NO!
Thank you[emoji1374]