Bado natafuta mpenzi (awe Daktari, Nurse with Degree, Mwalimu au mtu wa Finance)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! Una masharti mengi kweli kama ya mganga halafu kama uliwasomesha wewe. Cha kufanya tafuta mtu umsomeshe apate hivyo vigezo then uje umuoe.

Hautaki wasioelewa kingereza wasije wakati kichwa cha habari kipo kwa kiswahili?
I blame where you come from[emoji3529]
 
Jamaa kaweka criteria kama maombi ya kaziπŸ˜„πŸ€“
Amechoka wachunaji so nani atakuja na wote hawana vigezo vya juu mtu ana degree ya miaka 3 udaktari ni miaka kumi .
Ingine nimchungu,selfish
 
Dear Hiring Manager,

Would you consider selecting a candidate with equivalent qualifications and practical experience in the field from a reputable organization with passion for her career flexible in her working hours ready to learn and help with other tasks as required and very excited and looking forward to be part of your......

....Oh sorry nilifikiri ni tangazo la Kazi....πŸšΆπŸΎβ€β™€οΈ
 
Nenda hospitali,benki utakutana nao tu kirahisi kabisa na wanatamani sana kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…