Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini?
Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia kelele ni kwamba yenyewe ipo vizuri kwa maslahi ya nchi, hatuijui maana haikuvuja au kuna siri gani nyuma ya pazia?
Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia kelele ni kwamba yenyewe ipo vizuri kwa maslahi ya nchi, hatuijui maana haikuvuja au kuna siri gani nyuma ya pazia?