Bado nawaza ni kwanini Polisi wamezuia maandamano ya CHADEMA?

Abdul Said Naumanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
673
Reaction score
1,318
Wanajamvi za muda huu?,

View: https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct

Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya maandamano haya ni shinikizo la kutaka majibu ya kina na haraka kuhusu uchunguzi wa matukio ya utekaji na upoteaji wa watu nchini, jambo ambalo limezua taharuki zaidi baada ya kada maarufu wa CHADEMA, Mzee Kibao, kutekwa na watu waliojitambulisha kuwa maafisa wa polisi, na baadaye mwili wake kupatikana akiwa tayari amefariki.

View: https://youtu.be/3Xk6STmMajY?si=WARYnmFbxCZAqOSa

Tukumbuke kwamba, hata kabla ya tukio la Mzee Kibao, kumekuwa na matukio mengine ya kutekwa kwa watu kadhaa na wengine kupotea bila kupatikana, huku baadhi ya waliotekwa wakipatikana na wengine hawajulikani walipo hadi sasa. Hali hii imefikia hatua ambapo Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilitoa tamko rasmi lenye orodha ya zaidi ya watu 80 waliotekwa au kupotea tangu mwaka 2016. Ni muhimu pia kutambua kuwa, hivi karibuni Mh. Haida Kinani alifikisha suala hili bungeni na kutaka lijadiliwe, lakini Spika wa Bunge alikataa ombi hilo.​

View: https://youtu.be/3ILz2tj9X8Q?si=bS9oEz96CG5yKGPk

Baada ya tukio la kutekwa na kuuawa kwa Mzee Kibao, Rais aliamuru Jeshi la Polisi kufuatilia na kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matukio haya. Swali la msingi hapa ni: Je, ni kwa nini hatua hii haikuchukuliwa mapema wakati matukio haya yalikuwa tayari yameanza kuathiri haki na usalama wa wananchi? Je, kulikuwa na sababu yoyote ya kuendelea kukaa kimya mpaka kifo cha Mzee Kibao kilipotokea?
IMG_6945.jpeg
Tukirudi kwenye suala la maandamano, CHADEMA waliweka wazi kwamba iwapo baada ya siku 10 tangu Rais alipotoa agizo, Jeshi la Polisi litashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu uchunguzi huo, basi chama hicho kitaandaa maandamano. Kwa mtazamo wangu, CHADEMA wapo sahihi kwa kuchukua hatua hii. Kila tukio linalogusa uhai na haki za wananchi linahitaji nguvu mbalimbali ili kushughulikiwa ipasavyo kama vile, nguvu za dola, sheria, na pia nguvu ya wa umma, ambao hapa unawakilishwa na CHADEMA.

View: https://www.instagram.com/reel/C_5TQjrO8tG/?igsh=MTh1aTlkYTJ1azl6bA==
Ni wazi kwamba si Watanzania wote ni wanachama wa CHADEMA, lakini nguvu ya umma imekuwa chachu katika suala hili kutokana na athari zake kwa jamii kwa ujumla. Kwa kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini, moja ya majukumu yao makuu ni kuikosoa na kuipinga serikali pale inapobidi, hapa utapata picha ni kwanini waliotekwa wengi (japo sio wote) ni wanachama wa CHADEMA au wanaharakati, ndiyo maana mwenyekiti wa CHADEMA alihitaji majibu ya haraku kujua ni wapi wanachama wao wapo, iwe wakiwa hai ama wamekufa.

Hata hivyo, ni vyema kutafakari hoja ya Jeshi la Polisi kuzuia maandamano hayo kwa madai kuwa "CHADEMA wanataka kututoa kwenye reli." Hii hoja ndiyo iliyo nilazimu kuandika uzi huu kwa sababu imenipa maswali mengi. Like, Je, ina maana kwamba Jeshi la Polisi lina wasiwasi kuwa, hadi tarehe 23, watakuwa bado hawajapata majibu sahihi kuhusu uchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao pamoja na majibu ya matukio haya kiujumla? Hii ni hoja inayoweza kupelekea wananchi kuhisi kuwa uchunguzi huo bado haujakamilika, na polisi hawana uhakika kama watakuwa na majibu yanayoridhisha kabla ya siku hiyo.

Soma Pia: Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu

IMG_6943.jpeg
Kwa mantiki rahisi, kama polisi wangejua kwa uhakika kuwa watakuwa na majibu kamili kabla ya tarehe 23, isingekuwa na haja ya kuzuia maandamano. Badala yake, Wangehakikisha uchunguzi unakamilika mapema na ripoti inawasilishwa kwa Rais, jambo ambalo lingeweza kuondoa haja ya CHADEMA kuingia barabarani. Kwa hivyo, hoja ya kuzuia maandamano inaibua maswali ya msingi kuhusu ufanisi wa uchunguzi huu.

Anyway, me napita tu🚶🏿🚶🏿​
 
Wanajamvi za muda huu?,

View: https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct
Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya maandamano haya ni shinikizo la kutaka majibu ya kina na haraka kuhusu uchunguzi wa matukio ya utekaji na upoteaji wa watu nchini, jambo ambalo limezua taharuki zaidi baada ya kada maarufu wa CHADEMA, Mzee Kibao, kutekwa na watu waliojitambulisha kuwa maafisa wa polisi, na baadaye mwili wake kupatikana akiwa tayari amefariki.

View: https://youtu.be/3Xk6STmMajY?si=WARYnmFbxCZAqOSa

Tukumbuke kwamba, hata kabla ya tukio la Mzee Kibao, kumekuwa na matukio mengine ya kutekwa kwa watu kadhaa na wengine kupotea bila kupatikana, huku baadhi ya waliotekwa wakipatikana na wengine hawajulikani walipo hadi sasa. Hali hii imefikia hatua ambapo Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilitoa tamko rasmi lenye orodha ya zaidi ya watu 80 waliotekwa au kupotea tangu mwaka 2016. Ni muhimu pia kutambua kuwa, hivi karibuni Mh. Haida Kinani alifikisha suala hili bungeni na kutaka lijadiliwe, lakini Spika wa Bunge alikataa ombi hilo.​

View: https://youtu.be/3ILz2tj9X8Q?si=bS9oEz96CG5yKGPk

Baada ya tukio la kutekwa na kuuawa kwa Mzee Kibao, Rais aliamuru Jeshi la Polisi kufuatilia na kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matukio haya. Swali la msingi hapa ni: Je, ni kwa nini hatua hii haikuchukuliwa mapema wakati matukio haya yalikuwa tayari yameanza kuathiri haki na usalama wa wananchi? Je, kulikuwa na sababu yoyote ya kuendelea kukaa kimya mpaka kifo cha Mzee Kibao kilipotokea?​
View attachment 3095237
Tukirudi kwenye suala la maandamano, CHADEMA waliweka wazi kwamba iwapo baada ya siku 10 tangu Rais alipotoa agizo, Jeshi la Polisi litashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu uchunguzi huo, basi chama hicho kitaandaa maandamano. Kwa mtazamo wangu, CHADEMA wapo sahihi kwa kuchukua hatua hii. Kila tukio linalogusa uhai na haki za wananchi linahitaji nguvu mbalimbali ili kushughulikiwa ipasavyo kama vile, nguvu za dola, sheria, na pia nguvu ya wa umma, ambao hapa unawakilishwa na CHADEMA.

Ni wazi kwamba si Watanzania wote ni wanachama wa CHADEMA, lakini nguvu ya umma imekuwa chachu katika suala hili kutokana na athari zake kwa jamii kwa ujumla. Kwa kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini, moja ya majukumu yao makuu ni kuikosoa na kuipinga serikali pale inapobidi, hapa utapata picha ni kwanini waliotekwa wengi (japo sio wote) ni wanachama wa CHADEMA au wanaharakati?

Hata hivyo, ni vyema kutafakari hoja ya Jeshi la Polisi kuzuia maandamano hayo kwa madai kuwa "CHADEMA wanataka kututoa kwenye reli." Hii hoja ndiyo iliyo nilazimu kuandika uzi huu kwa sababu imenipa maswali mengi. Like, Je, ina maana kwamba Jeshi la Polisi lina wasiwasi kuwa, hadi tarehe 23, watakuwa bado hawajapata majibu sahihi kuhusu uchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao? Hii ni hoja inayoweza kupelekea wananchi kuhisi kuwa uchunguzi huo bado haujakamilika, na polisi hawana uhakika kama watakuwa na majibu yanayoridhisha kabla ya siku hiyo.
View attachment 3095242
Kwa mantiki rahisi, kama polisi wangejua kwa uhakika kuwa watakuwa na majibu kamili kabla ya tarehe 23, isingekuwa na haja ya kuzuia maandamano. Badala yake, Wangehakikisha uchunguzi unakamilika mapema na ripoti inawasilishwa kwa Rais, jambo ambalo lingeweza kuondoa haja ya CHADEMA kuingia barabarani. Kwa hivyo, hoja ya kuzuia maandamano inaibua maswali ya msingi kuhusu ufanisi wa uchunguzi huu.

Anyway, me napita tu🚶🏿🚶🏿​

Sijasikia point yoyote ya maana kutoka jeshi la polisi
Zaidi ya blah blah za maandamano ni haramu
Hawasemi sababu ya uharamu wa hayo maandamano.
Tuna viongozi vilaza sana.
 
Wanajamvi za muda huu?,

View: https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct

Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya maandamano haya ni shinikizo la kutaka majibu ya kina na haraka kuhusu uchunguzi wa matukio ya utekaji na upoteaji wa watu nchini, jambo ambalo limezua taharuki zaidi baada ya kada maarufu wa CHADEMA, Mzee Kibao, kutekwa na watu waliojitambulisha kuwa maafisa wa polisi, na baadaye mwili wake kupatikana akiwa tayari amefariki.

View: https://youtu.be/3Xk6STmMajY?si=WARYnmFbxCZAqOSa

Tukumbuke kwamba, hata kabla ya tukio la Mzee Kibao, kumekuwa na matukio mengine ya kutekwa kwa watu kadhaa na wengine kupotea bila kupatikana, huku baadhi ya waliotekwa wakipatikana na wengine hawajulikani walipo hadi sasa. Hali hii imefikia hatua ambapo Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilitoa tamko rasmi lenye orodha ya zaidi ya watu 80 waliotekwa au kupotea tangu mwaka 2016. Ni muhimu pia kutambua kuwa, hivi karibuni Mh. Haida Kinani alifikisha suala hili bungeni na kutaka lijadiliwe, lakini Spika wa Bunge alikataa ombi hilo.​

View: https://youtu.be/3ILz2tj9X8Q?si=bS9oEz96CG5yKGPk

Baada ya tukio la kutekwa na kuuawa kwa Mzee Kibao, Rais aliamuru Jeshi la Polisi kufuatilia na kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matukio haya. Swali la msingi hapa ni: Je, ni kwa nini hatua hii haikuchukuliwa mapema wakati matukio haya yalikuwa tayari yameanza kuathiri haki na usalama wa wananchi? Je, kulikuwa na sababu yoyote ya kuendelea kukaa kimya mpaka kifo cha Mzee Kibao kilipotokea?
Tukirudi kwenye suala la maandamano, CHADEMA waliweka wazi kwamba iwapo baada ya siku 10 tangu Rais alipotoa agizo, Jeshi la Polisi litashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu uchunguzi huo, basi chama hicho kitaandaa maandamano. Kwa mtazamo wangu, CHADEMA wapo sahihi kwa kuchukua hatua hii. Kila tukio linalogusa uhai na haki za wananchi linahitaji nguvu mbalimbali ili kushughulikiwa ipasavyo kama vile, nguvu za dola, sheria, na pia nguvu ya wa umma, ambao hapa unawakilishwa na CHADEMA.

Ni wazi kwamba si Watanzania wote ni wanachama wa CHADEMA, lakini nguvu ya umma imekuwa chachu katika suala hili kutokana na athari zake kwa jamii kwa ujumla. Kwa kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini, moja ya majukumu yao makuu ni kuikosoa na kuipinga serikali pale inapobidi, hapa utapata picha ni kwanini waliotekwa wengi (japo sio wote) ni wanachama wa CHADEMA au wanaharakati?

Hata hivyo, ni vyema kutafakari hoja ya Jeshi la Polisi kuzuia maandamano hayo kwa madai kuwa "CHADEMA wanataka kututoa kwenye reli." Hii hoja ndiyo iliyo nilazimu kuandika uzi huu kwa sababu imenipa maswali mengi. Like, Je, ina maana kwamba Jeshi la Polisi lina wasiwasi kuwa, hadi tarehe 23, watakuwa bado hawajapata majibu sahihi kuhusu uchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao? Hii ni hoja inayoweza kupelekea wananchi kuhisi kuwa uchunguzi huo bado haujakamilika, na polisi hawana uhakika kama watakuwa na majibu yanayoridhisha kabla ya siku hiyo.

Soma Pia: Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Kwa mantiki rahisi, kama polisi wangejua kwa uhakika kuwa watakuwa na majibu kamili kabla ya tarehe 23, isingekuwa na haja ya kuzuia maandamano. Badala yake, Wangehakikisha uchunguzi unakamilika mapema na ripoti inawasilishwa kwa Rais, jambo ambalo lingeweza kuondoa haja ya CHADEMA kuingia barabarani. Kwa hivyo, hoja ya kuzuia maandamano inaibua maswali ya msingi kuhusu ufanisi wa uchunguzi huu.

Anyway, me napita tu🚶🏿🚶🏿​

CCM must go!
 
Inashangaza jinsi jeshi la Police linavyojiingiza kwenye mambo ya kisiasa, CHADEMA wanachofanya au kupanga ni suala la kisiasa ambalo Police wajibu wao ni kuhakikisha hayo maandamano yanafanyika kwa amani. 🧐
 
Hata hivyo, ni vyema kutafakari hoja ya Jeshi la Polisi kuzuia maandamano hayo kwa madai kuwa "CHADEMA wanataka kututoa kwenye reli." Hii hoja ndiyo iliyo nilazimu kuandika uzi huu kwa sababu imenipa maswali mengi. Like, Je, ina maana kwamba Jeshi la Polisi lina wasiwasi kuwa, hadi tarehe 23, watakuwa bado hawajapata majibu sahihi kuhusu uchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao? Hii ni hoja inayoweza kupelekea wananchi kuhisi kuwa uchunguzi huo bado haujakamilika, na polisi hawana uhakika kama watakuwa na majibu yanayoridhisha kabla ya siku hiyo.
Anyway, me napita tu🚶🏿🚶🏿[/JUSTIFY]
Kwenye taarifa ya zuio la maandamano ya Chadema, jeshi la Polisi limetoa sababu ya kuyazuia maandamano hayo na wala hazihusiani na uchunguzi wa kijinai wa tukio hilo unao endelea!.

Natoa Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
P
 
Ukijifanya muongeaji muongeaji sana JF nao wanakupiga pin (ban) maana Wapo chini ya uangalizi wa Polisi
 
Policcm ndio watekaji na wauaji wakubwa wakitumwa ni chama tawala kwa kukosolewa, kuzuia kwao nikwasababu hayo yanayotokea ndio wanayoyafanya ili wananchi wasiweze kufahamu uharamia wao, wawatoe Sako na wenzake na sio kuwashikilia na kuwaua.

Nyinyi mnaotetea maovu ya policcm mna laana sana.
 
Waachwe waandamane......Hawatakuwa na madhara. Kuwazuia ndio kunaongeza mivutano isiyo ya lazima zaidi ya 'Unknown and Ujustified Fear'....
 
Wanajamvi za muda huu?,

View: https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct

Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya maandamano haya ni shinikizo la kutaka majibu ya kina na haraka kuhusu uchunguzi wa matukio ya utekaji na upoteaji wa watu nchini, jambo ambalo limezua taharuki zaidi baada ya kada maarufu wa CHADEMA, Mzee Kibao, kutekwa na watu waliojitambulisha kuwa maafisa wa polisi, na baadaye mwili wake kupatikana akiwa tayari amefariki.

View: https://youtu.be/3Xk6STmMajY?si=WARYnmFbxCZAqOSa

Tukumbuke kwamba, hata kabla ya tukio la Mzee Kibao, kumekuwa na matukio mengine ya kutekwa kwa watu kadhaa na wengine kupotea bila kupatikana, huku baadhi ya waliotekwa wakipatikana na wengine hawajulikani walipo hadi sasa. Hali hii imefikia hatua ambapo Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilitoa tamko rasmi lenye orodha ya zaidi ya watu 80 waliotekwa au kupotea tangu mwaka 2016. Ni muhimu pia kutambua kuwa, hivi karibuni Mh. Haida Kinani alifikisha suala hili bungeni na kutaka lijadiliwe, lakini Spika wa Bunge alikataa ombi hilo.​

View: https://youtu.be/3ILz2tj9X8Q?si=bS9oEz96CG5yKGPk

Baada ya tukio la kutekwa na kuuawa kwa Mzee Kibao, Rais aliamuru Jeshi la Polisi kufuatilia na kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matukio haya. Swali la msingi hapa ni: Je, ni kwa nini hatua hii haikuchukuliwa mapema wakati matukio haya yalikuwa tayari yameanza kuathiri haki na usalama wa wananchi? Je, kulikuwa na sababu yoyote ya kuendelea kukaa kimya mpaka kifo cha Mzee Kibao kilipotokea?
Tukirudi kwenye suala la maandamano, CHADEMA waliweka wazi kwamba iwapo baada ya siku 10 tangu Rais alipotoa agizo, Jeshi la Polisi litashindwa kutoa majibu ya kuridhisha kuhusu uchunguzi huo, basi chama hicho kitaandaa maandamano. Kwa mtazamo wangu, CHADEMA wapo sahihi kwa kuchukua hatua hii. Kila tukio linalogusa uhai na haki za wananchi linahitaji nguvu mbalimbali ili kushughulikiwa ipasavyo kama vile, nguvu za dola, sheria, na pia nguvu ya wa umma, ambao hapa unawakilishwa na CHADEMA.

Ni wazi kwamba si Watanzania wote ni wanachama wa CHADEMA, lakini nguvu ya umma imekuwa chachu katika suala hili kutokana na athari zake kwa jamii kwa ujumla. Kwa kuwa CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini, moja ya majukumu yao makuu ni kuikosoa na kuipinga serikali pale inapobidi, hapa utapata picha ni kwanini waliotekwa wengi (japo sio wote) ni wanachama wa CHADEMA au wanaharakati?

Hata hivyo, ni vyema kutafakari hoja ya Jeshi la Polisi kuzuia maandamano hayo kwa madai kuwa "CHADEMA wanataka kututoa kwenye reli." Hii hoja ndiyo iliyo nilazimu kuandika uzi huu kwa sababu imenipa maswali mengi. Like, Je, ina maana kwamba Jeshi la Polisi lina wasiwasi kuwa, hadi tarehe 23, watakuwa bado hawajapata majibu sahihi kuhusu uchunguzi wa kifo cha Mzee Kibao? Hii ni hoja inayoweza kupelekea wananchi kuhisi kuwa uchunguzi huo bado haujakamilika, na polisi hawana uhakika kama watakuwa na majibu yanayoridhisha kabla ya siku hiyo.

Soma Pia: Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
Kwa mantiki rahisi, kama polisi wangejua kwa uhakika kuwa watakuwa na majibu kamili kabla ya tarehe 23, isingekuwa na haja ya kuzuia maandamano. Badala yake, Wangehakikisha uchunguzi unakamilika mapema na ripoti inawasilishwa kwa Rais, jambo ambalo lingeweza kuondoa haja ya CHADEMA kuingia barabarani. Kwa hivyo, hoja ya kuzuia maandamano inaibua maswali ya msingi kuhusu ufanisi wa uchunguzi huu.

Anyway, me napita tu🚶🏿🚶🏿​

CDM ndo inajifia hivyo, wameandamana Hadi wakachoka wenywe. Sasa anavyosema utadhani aliwahi kuninunilia hata kilo ya UNGA. Kwisha kabisa CDM. Hili ndilo pigo la mwisho, pigo takatifu lililokamilika litakaloipelela CDM kujifia yenyewe. CCM ndiyo yenyewe.
 
Sisi tuliokubaliana na kuamini katika haya maandamano Cha kufanya ni kupuuza tamko la hao polisi na kuendelea kujiandaa na iyo 23rd , serikali inaongozwa na kichwa Cha mwendawazimu unategemea polisi wasemaje
 
Intelejensia ya jeshi la polisi kwenye maandamano ipo vizuri,ila kwenye utekaji na mauaji ya watu hapo intelejensia inasoma sifuri.
 
Back
Top Bottom