Mimi najiuliza labda sijui, hapa karibuni zaidi baada ya watu kutekwa na kuuwawa na wengine kupotea hapa katika nchi yetu pendwa Tanganyika, na wengi wanaopotea na hao wanaouwawa asilimia kibwa sana ni wanachama na viongozi wa CHADEMA.
Tena hao watu wa chadema wote ni watu kutoka Tanganyika huru, yaani bara. Inasemwa sana na watu wengine tena wengine ni wakuu katika nchi, wanasema CHADEMA ni Chama cha fujo na machafuko. Sababu sio maandamono , hapa karibuni si yamefanyika maandamano hatujaona hayo machafuko.
Swali langu ni kweli CHADEMA NI CHAMA CHA MACHAFUKO NA FUJO HAPA TANGANYIKA AU JMT, nisaidie mnaojua. Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila ni mpenda haki sana.
MWALEMI =ASANTE