Bado ni kitendawili waliofaidi mabilioni ya Justine Kasusura

Ningeandika njia kuu 6 za kutoroka nje ya nchi bila kujulikana kamwe ila sitaki kuzifichua hizo chimbo. hata wale watu wa kubwia huwa wanapitisha huko

Alipaswa kwanza atulie mpka Heat ipungue then, Angeondoka nchini kirahisi kabisa, sema kwasababu alikuwa mjinga sana kiasi cha kununua malaya na kunywa pombe hovyohovyo mpka akajulikana.


Yani hata angenunua nyumba kupitia mtu mwingine akafukua karo la choo kwa pembeni, halafu akazizika kwenye boksi la mbao. na nyumba akapangisha watu wasiojua chchte akasepa nje ya nchi.

Angerudi aka fanya plea bargain, akalipa million 800 hiyo 1B akaendelea nayo[emoji23]
 
Nimelikumbuka jina la hakimu Muheshimiwa Sivangilwa Mwangesi.

Nakumbuka kumsoma sana miaka ya 2000s kwenye magazeti yaliyokuwa yanatoka mchana ya Alaasiri lililokuwa linatolewa na IPP na Dar Leo lililokuwa linatolewa na kampuni iliyokuwa ikizalisha magazeti ya Majira,watuhumiwa wengi sana ambao ma-file yao yalipitia kwenye mikono yake kipindi hicho hawakutoka salama.

Nina jamaa yangu alikutana na rungu lake mwaka 2009 ilikuwa kwenye issue ya wizi wa spare parts za magari akamgonga miaka sita tulipambana tukamtoa baada ya miezi mitatu but mentality bado hajakaa sawa hadi leo.
 
Dah nmecheka kwaiyo mwanangu ungejipiga carolite
 
Mwema ndo alimgundua?
 
Kasusura mimi
 
Ni nani aliyefaidi mabilioni yaliyodaiwa kuporwa na Kasusura? Si Kasusura wala Jeshi la Polisi wameweza kujibu swali hili miaka 20 tangu tukio hilo litokee.[emoji848][emoji2827][emoji16][emoji40]
Itakuwa omari mahita na vijana wake manake kipindi chake mahita alisifika kwa kupiga madil na majambawaz🤔ilivyokuwa inasemekana🤣
 
Na bahati mbaya ukafia huko nje inakuaje? Hila zitaoza mdogo mdogo au vipi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…