Bado nipo kwenye mchakato wa kuuza asset zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu

Bado nipo kwenye mchakato wa kuuza asset zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu

ROOM 47

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2022
Posts
2,301
Reaction score
7,460
My fellow jf bado nipo naendelea na mchakato wangu wa kuuza au kupunguza baadhi ya assets zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu ulioyumba tangu mwaka huu uanze uchumi kwangu ume collapse kabisa.

Hapa nauzq toyo namba c yaani pikipiki ya miguu mitano kwa tsh 1,800,000 angalizo njoo na fundi wako.

Pia nauza viwanja vyangu vilivyopo chanika kiwanda cha vyavu...kimoja ukubwa wa 20/20 qm kwa 2m.....hope ntapata wahitaji ...jf4 everbody

Screenshot_20220719-192043.png
IMG_20220102_090324_163.jpg
 
Back
Top Bottom