Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Japo bado hujanishawishi kuwa unaweza kuziba pengo la JPM lakini sina budi kukujulisha hili toka kwa mtu unayemwamini sana.
Anasema kuwa nanukuu "bi mkubwa sio mnoko, ukimpamba tu mambo yako yanaenda".
Alikuwa akizungumzia sakata la Kigwangala kumtembezea mtu risasi anasema jambo hili litaisha kama la Ditopile maana huna meno.
Kumbe walikuwa wanamponda JPM kwakuwa alikuwa na meno, wewe unadharaulika kuwa huna meno.
Aliyesema amefikia kwenye hoteli ya nyuma ya Bunge, angalia waliofikia pale, halafu chuja yule unaye mwamini zaidi, fuatilia mazungumzo yake utachoka.
Kweli siasa za Africa ni unafiki.