Maxence Melo mteja wako anashida hukuWakuu pamoja na wataalamu wa Mambo,bill kusahau ma-operator wa JF.Nimeshindwa kabisa kusoma jumbe kwenye PM maana haifunguki zaidi ya kuni-direct nifungue messenger na baadaye inaandika "connecting" muda wote.Nimejaribu kuinstall app upya au kutumia browser tofauti lakini hakuna mafanikio.
Kuna document nimetumiwa huko ninaiihitaji Sana,tafadhali naombeni msaada Sana.
Wakuu pamoja na wataalamu wa Mambo,bill kusahau ma-operator wa JF.Nimeshindwa kabisa kusoma jumbe kwenye PM maana haifunguki zaidi ya kuni-direct nifungue messenger na baadaye inaandika "connecting" muda wote.Nimejaribu kuinstall app upya au kutumia browser tofauti lakini hakuna mafanikio.
Kuna document nimetumiwa huko ninaiihitaji Sana,tafadhali naombeni msaada Sana.
Ahsante Sana,nimefanikiwa baada ya kutumia mbinu hii.
Shukrani sana kiongozi