Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP