Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Mei Mosi alifanya nn?Watanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Kama vp Zingatia ushauri wa Zito.
Mama kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mei Mosi alifanya nn?Watanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Inatamkwa Mara kwa Mara kuwa jamaa alishusha uchumi wa nchi. Lakini genge lile linamsifia kwa nguvu kubwa.Mei Mosi alifanya nn?
Kama vp Zingatia ushauri wa Zito.
Mama kazi iendelee
Inaonesha ni jinsi gani ulivyovuta bangi na ikakukolea.Watanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Kwan yey aliongeza sh ngpWatanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Mwache JPM apumzikeTukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Mchinga soundTukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
He was best? Alipandisha % ngapi enzi za utawala wake?
Kwani huyu kapandisha?😁😆😆🤣😂Kuna watu ni wapumbavu sana mkuu.
Kwani huyu kapandisha?😁😆😆🤣😂
Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Tunashughulika na Samia. Kuzimu kama una hamu tangulia.Mwache JPM apumzike
Kushughulikashughulika na marehemu huo ni wanga
Shughulika na aliye hai kwakua anaweza kukujibu madai yako
Kama unatamani sana kushughulika na marehemu mfate huko alikoenda.
Zako za kikubwa tunazihitaji hapaUna hoja za kitoto sana mkuu.
Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Zako za kikubwa tunazihitaji hapa
Magufuli alipewa zaidi ya miaka mitano na hakuwahi kupandisha mishahara, kuajiri wala kutoa unafuu wa kimaisha zaidi ya kuwaambia watanzania wachape tu kazi, wafunge mikanda na kupiga marufuku siasa za uhuru, uwazi na Demokrasia.Ubora wa rais hautokani na kupandisha mishahara, ni bora mishahara iwe ya kawaida lakini mfumuko wa bei udhibitiwe. Angepewa muda wa kutosha nchi hii ingeenda mbali sana.
HahahahahahaMagufuli alipewa zaidi ya miaka mitano na hakuwahi kupandisha mishahara, kuajiri wala kutoa unafuu wa kimaisha zaidi ya kuwaambia watanzania wachape tu kazi, wafunge mikanda na kupiga marufuku siasa za uhuru, uwazi na Demokrasia.
Kwenye mambo ya wafanyakazi na haki zao Magufuli alikuwa mtu wa ovyo kupitiliza. Kwenye nyongeza za mishahara mpaka sasa sijaona tofauti ya Magufuli na Samia, wote wamekaa kitapeli tapeli sana.
Nimerejea. Ninachoona ni kuwa umeamini kuwa kuna nyongeza. Hapo ndipo uliponiona mtoto.Rejea post uliyoniquote.
Sasa mkuu Sifa zote ulizomsifia magufuli ungeelekeza kwenye mengine tu maana kwa wafanyakazi hakufanya chochote ni uyu mama kapunguza Kodi na kupandisha madaraja ambayo uyo malaika wenu hakuyafanya for five years hivi we jamaa ulikuwa unaongelea nini labda??Tukiwa bado tunalamikia ziara ya mama ya week mbili abroad. Ziara ambayo haijawahi fanywa na mkuu yoyote wa nchi kusini mwa Africa toka tupate uhuru, tunapigwa kitu kizito sana kichwani. Tunaambiwa alikuwa busy anatanua akasahau watu wake katika siku muhimu sana inayoaamua mengi kisiasa. Tunaamini waliomwandali hotuba wako katika hot soup muda huu.
Sisi mwaka jana tuliambiwa mshahara utapanda. Tena kwa bashasha na mbwembwe. Nadhani lengo lilikuwa kuwaonyesha kuwa Magufuri alikuwa mbaya kwa wafanyakazi. Kwa kuwa Hajapandisha mshahara miaka mitano.
Mwaka huu tunaambiwa bado hawaja-calculate viwango. Mwaka mzima!!!. Pia hali ya uchumi wa Dunia ni mbaya. Tunaaminishwa kuwa Kenya, ambao wameweka viwango na kutamka kwa kujiamini kuwa unapanda kwa asilimia 12, wako sayari Jupiter.
Kenya wako makini na raia wao. Mambo yako moja kwa moja na hakuna ubabaishaji. Haya mambo aliyaishi mzee wetu marehemu, Magufuri. RIP
Duh😃😁🙄🤔Sasa mkuu Sifa zote ulizomsifia magufuli ungeelekeza kwenye mengine tu maana kwa wafanyakazi hakufanya chochote ni uyu mama kapunguza Kodi na kupandisha madaraja ambayo uyo malaika wenu hakuyafanya for five years hivi we jamaa ulikuwa unaongelea nini labda??