Bado Rais Samia haja-calculate mshahara

Watanzania wenye mtindio wa ubongo na wavutabange walijitahidi kumponda JPM lakini he was the best.
Magufuli alikuwa best president kivip? Hebu tiaminishe alifanya nini?
Kumbuka alishindwa hata kuongeza mishahara, alishindwa kuajiri, alikopa ovyo ndani ya muda mfupi,alikuwa mkabila ,katika kipindi chake mauaji na utekaji vikitawala, aliharibu mahusiano ya nje huo ubora aliupata wapi!? Alifuta vyombo vya binafsi ili ibaki TBC imtukuze riport ya CAG imemuumbua hana lolote
 
Watamwelewa sana.
Walianza na kauli ya kwamba mama anaupiga mwingi. Sasa wamepoteana.

Ukweli ni ukweli. Bahati mbaya sana TZ tumezoea kudanganywa danganywa. Ukinyoosha kama alivyofanya mzee wetu, RIP, watu wanashangaa.
Mavi ukiyaweka kwenye sahani ya gharama kubwa hayatakuwa pilau ng'oooooooooooooooooooooooooo
 
Mag ndio mwanzilishi wahaya matatizo kwann hakupanfisha wakati wake!????
 
Mzee, watu hawapendi kabisa kusikia RIP magufuli....usishangae ukatukanwa hapa japo umeongea kitu cha msingi.
Hawapendi kusikia kwa sababu alishatimiza ngwe yake hapa duniani na kaondoka kawaacha ninyi. Sasa nyie mliobaki mko milioni 60 lakini maajabu unaendelea kulalamika na kumkumbuka mtu na kufanya reference ili hali hawezi tena kurudi duniani. Ni wajibu wenu sasa mliobaki kupasua kichwa kuondokana na changamoto zinazowakabili kwa sababu nyie mnao huo uwezo wakati marehemu hana huo uwezo. Mimi pia huwa nawashangaa sana kila shida kidogo eti angekuwepo fulani, shida kidogo fulani angekuwepo ebooo!!! Nyie mnatimiza wajibu wenu???
 
Ni bora huyu ambaye amepandisha vyeo/madaraja baadhi ya watumishi na kuwarekebishia mishahara yao na kisha kutoa ajira mpya. Kasema "lile jambo lipoo".
Au nasema uongo ndugu zanguuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…