Bado sakata la TFF, Azam TV na mashabiki halijapata ufumbuzi

Bado sakata la TFF, Azam TV na mashabiki halijapata ufumbuzi

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,578
Reaction score
7,055
Azam TV walitumia nguvu kubwa Sana kutangaza mechi ya March 8 ila haikupingwa wakala hasara.Ikatangazwa tarehe mpya June 15 akasema isiwe kesi yaliyopita si ndwele tugange yajayo wakaanza promo tena nayo wamekula nyoya.

Kumbuka mashabiki walikata ticket Mechi ya March 8.

Mpka leo tunajua Derby ni June 25,2025.Kwanini TFF hawazungumzii hizi hasara za AZAM TV na MASHABIKI?Kwanini hakuna mchambuzi wala wapenda haki wanaopigia kelele hizi hasara?.

KARIA MUST GO.....
 
Hawana elimu ya usimamizi wa michezo na majanga, (sports management skills and crisis management)

TFF chini ya usimamizi wa W. Karia ijitafakari hasa kutokana na kauli za W.Karia za kejeli nyuma ya mikamera

Karia is provocative and biased in reality though he has taught us the lessons that there is a need for sports leaders to acquire knowledge in sports management skills and crisis management skills, also public relationship
 
Si wanajua wabongo ni mazumbukuku wasiojua kujisemea na wamejazwa na uSimba na uYanga...
 
Hawana elimu ya usimamizi wa michezo na majanga, (sports management skills and crisis management)

TFF chini ya usimamizi wa W. Karia ijitafakari hasa kutokana na maneno yake ya kejeli nyuma ya mikamera

Karia is provocative and biased in reality though he has taught us the lessons that there is a need for sports leaders to acquire knowledge in sports management skills and crisis management skills, also public relationship
Absolutely
 
Jana mtangazaji wa Azam u live alimfokea mpiga sim baada ya kuambiwa derby haipo
"We kama nani sisi tukusikilize"
Jamaa akasema haya!
 
Kwa jinsi tunashuhudia kwa macho Simba inavyobebwa na waamuzi na kuahirishwa kwa derby kihuni huni tu huku mashabiki wakidhulumiwa pesa zao ni haki kabisa huyu Karai must go. Serikali inapaswa kuingilia kati mashabiki warudishiwe pesa zao za kiingilio, hii si haki tff kufuta derby kama vile ni ndondo cup. Huu uhuni ni lazima ukomeshwe, Rais wa tff atoke iwe fundisho.

Huyu Mzee tayari ameharibu kabisa mpira kwa kiwango kikubwa, wabongo tuache unafki, huyu Mzee hafai tena kuongoza tff na serikali ikimwacha hata hizo sijui Afcon ataharibu pakubwa mbele ya wageni kwakuwa hana akili, huwezi kuwa kiongozi wa kulazimisha timu yako mbovu ya Simba ibebe ubingwa kwa lazima kwa kuonea timu ndogo na kuzishusha daraja, we Mzee acha mpira uongee, kule Bundesliga Bayern Munich wanashinda wao tu kila mwaka na hakuna fitna za kuwapoka ubingwa wao. Chuki za Karai kwa Yanga zimeonesha alivyo kiongozi asie na weledi.

Yaani mkono unashika panga na kushambulia sasa kwanini unakata mkono tu na kuacha kichwa kilichofanya maamuzi na kuamuru mkono ukashambulie? Bodi ya ligi kila utumbo iliofanya iliripoti na kupata baraka za Karai sasa kwanini bodi tu wajiuzulu na mhusika Mkuu Karai abaki,? Hii si haki, huyu Mzee ni virus na serikali imwambie atokeeeeee!!

Mpira ni ajira kubwa hivi sasa, mpira ni biashara kubwa, mpira ni maisha na furaha ya watu masikini, huyu Mzee Karai hana akili ya kujua hayo, kuharibika kwa ligi kuu kwa uhuni wa bodi ya ligi kupanga marefa wa kuibeba Simba bila aibu live on tv na kuvunjwa kanuni za derby ni kuharibu ajira za wachezaji na biashara za wawekezaji na pia kupoteza kodi kwa serikali , Mzee Karai sasa ni wakati sahihi wa kutokaaaaa!! We kipara hivi huna aibu?, toka Bwana, bodi ya ligi kimsingi ni wewe tu, iko chini yako, inaripoti kwako na inapokosea ni wewe umekosea , kiongozi huna akili wewe, tokaaa!!
 
Back
Top Bottom