Bado serikali haitendi haki kukumbatia sheria zinazozuia mali zake kutokamatwa kwa amri ya mahakama!!

Bado serikali haitendi haki kukumbatia sheria zinazozuia mali zake kutokamatwa kwa amri ya mahakama!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,

Ni wazi hili la mali za serikali kuu na taasisi zake kutokamatwa kwa utekelezaji wa amri za mahakama linawapa viburi viongozi wa serikali hasa pale wananchi wanaposhinda kesi za madai yao mahakamani.

Kulitolewa maelekezo yenye tamko la kuzuia viongozi na mali za serikali wanapohiyajika kukamatwa kwaajili ya utekelezaji wa madai yao.

Ni wakati sasa wanaharakati kupigania hili hasa kwa wanaharakati walioongoza ushindi ndidi ya sheria kandamizi zilizotolewa maamuzi hovi majuzi mahakamani.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom