bado sielewi kuhusu hili,,,,,

bado sielewi kuhusu hili,,,,,

Ni jinsi unavyojipozisheni uraiani kwako na mitandaoni.

Kama marafiki wa uraiani huwaelewi JITAFAKARI
ina depend na life slogan yako mkuu, sio lazima kila mtu akuelewe
 
bila kua na bundle la internet huja kutana nao bado, ukipoteza simu, laptop au kifaa chako cha internet n hasara nyingine na ina take time ku recover
FOR SURE ILA KAMA MLIJENGA MISINGI MIZURI YA URAFIKI NJE YA JF HAUTAATHIRIKA SANA
 
ukiombwa kuchaagua moja unadhani lipi jema kwako
Anyway utaona wenye faida kwako ni wapi??
ila personally naona mitandaoni kidogo inanilisha chakula cha roho.tofauti na washkaji wengi kitaa wao vizinga sana na mambo mengine yasiyopendeza ingawa sio wote.btw marafiki wa mitandaoni unakuwa nao wengi hivyo unapata idea nyingi zaidi.kwamaana wengi wape.basi mitandaoni panafaa zaidi ingawa waliopo mitandaoni pia ni washkaji wa kitaa wale wenye akili mbovu
 
hiyo fact yako imeiva vilivyo,, na ina harufu nzuri yaweza kutumiwa na walio wengi wenye mawazo kama yako
ahsante
 
Binafsi huwa nikiona mtu mnafiki namkwepa, hivyo marafiki zangu wa kitaa ni watu wanaojitambua

Mleta mada, wewe ni ME au KE!?
 
hilo utajibiwa siku nyingine kwakua n la nyongeza na hali husiki hapa
 
Anyway utaona wenye faida kwako ni wapi??
ila personally naona mitandaoni kidogo inanilisha chakula cha roho.tofauti na washkaji wengi kitaa wao vizinga sana na mambo mengine yasiyopendeza ingawa sio wote.btw marafiki wa mitandaoni unakuwa nao wengi hivyo unapata idea nyingi zaidi.kwamaana wengi wape.basi mitandaoni panafaa zaidi ingawa waliopo mitandaoni pia ni washkaji wa kitaa wale wenye akili mbovu
HAHAAA aisee juzi kati nilikwenda moro kutembea nilipofika kule baada yakumaliza mambo yliyonipeleka nikaona nivyema nikiutumia muda wangu kwenda kutembelea Jamaa ambao sikuwahi kuonana nao miaka mingi mnoo ..nilifika mpka kwa mama mmoja hvi ambaye kipindi cha utoto wangu aliwahi kuni treat vyema mnooo ...nimama wa mmoja wa rafiki zangu wa utotoni ..lakini huyo rafiki yangu sasa hvi kaharibika kawa Muhuni yaani acha tu ...daahh wakati nimeaga nikapitia Dukani nikafnya manunuzi flani Hivi nikamwambia yule Jamaa yngu atakapokuwa anarejea nyumbani kwao baada ya kunisindikiza ampelekee bimkubwa wake vile vitu ..
daahhh bas Jamaa baada ya kuona nimetoa Pesa macho yakamtoka mithili ya zinkovinyo ..akanipiga binge silamzinga nika mwambia kuwa nitamtumia Pesa baadae zile nilizokuwa nazo kunamahitaji nataka kwenda kuyanunua zaidi ..Mara nikakutana na kijana mwingine tuliwahi kucheza wote uttoni nae akanipiga mizinga mizito tu .mpka nikawa naiona anga ya dunia kam ya njano ...
daahh nikichoka hoi ...nikaachana nao nakupnda bajaj nikarudi om ...nafika om kila tym Jamaa ananaipigia Simu anaulizia ile Pesa ..niliyomuahidi . yaani kaacha kunipigia jana usiku na nibaada yakuona kuwa cpokei cm yake wala cjibu text zake ..nilimbroke lakini akatumia namba za bimkubwa wake kunitafuta tena ..hahaaa. MPKA NILIJUTA KWANINI NILIKWNDA KUMUONA MAMA YAKE
 
HAHAAA aisee juzi kati nilikwenda moro kutembea nilipofika kule baada yakumaliza mambo yliyonipeleka nikaona nivyema nikiutumia muda wangu kwenda kutembelea Jamaa ambao sikuwahi kuonana nao miaka mingi mnoo ..nilifika mpka kwa mama mmoja hvi ambaye kipindi cha utoto wangu aliwahi kuni treat vyema mnooo ...nimama wa mmoja wa rafiki zangu wa utotoni ..lakini huyo rafiki yangu sasa hvi kaharibika kawa Muhuni yaani acha tu ...daahh wakati nimeaga nikapitia Dukani nikafnya manunuzi flani Hivi nikamwambia yule Jamaa yngu atakapokuwa anarejea nyumbani kwao baada ya kunisindikiza ampelekee bimkubwa wake vile vitu ..
daahhh bas Jamaa baada ya kuona nimetoa Pesa macho yakamtoka mithili ya zinkovinyo ..akanipiga binge silamzinga nika mwambia kuwa nitamtumia Pesa baadae zile nilizokuwa nazo kunamahitaji nataka kwenda kuyanunua zaidi ..Mara nikakutana na kijana mwingine tuliwahi kucheza wote uttoni nae akanipiga mizinga mizito tu .mpka nikawa naiona anga ya dunia kam ya njano ...
daahh nikichoka hoi ...nikaachana nao nakupnda bajaj nikarudi om ...nafika om kila tym Jamaa ananaipigia Simu anaulizia ile Pesa ..niliyomuahidi . yaani kwacha kunipigia jana usiku ..MPKA NILIJUTA KWANINI NILIKWNDA KUMUONA MAMA YAKE
kawaida sana kwa wenye akili za usiku
 
Back
Top Bottom