Bado sijafanikiwa kumpata mwenza sahihi

Bado sijafanikiwa kumpata mwenza sahihi

Habari za wakati huu, mpaka Sasa bado sijafanikiwa kumpata mwenza wa kuanza nae safari ya maisha. Wengi wanaokuja ni waume za watu, ma play boy wasiojiheshimu. Wengine wanahisi mtu hauko serious, wakati mtu una Nia thabiti kabisa. Labda sijaandika vizuri ombi langu na jinsi ya kujielezea.

SIFA BINAFSI
umri wangu ni miaka 25
Dhehebu langu RC
Nipo dsm
Nimejiajiri
Rangi yangu mweusi
Sina mtoto, sijawahi kuolewa, sijawahi toa mimba.
Nipo serious katika hili.
Kuja Hapa si kwamba, sifai la hasha, Bali kulingana na mazingira yangu sipati mtu ninayemuhitaji Mimi.

SIFA ZA BOYFRIEND.
Awe na miaka 28 mwsho 30
Awe na kazi au kitu kinachomuingizia kipato. (Sina Nia mbaya).
Awe mkoa wowote sawa
Awe mkristo (itapendeza zaidi akiwa RC)
Awe mrefu lakini si Sana
Asiwe mume wa mtu
Awe rangi yoyote
Awe kabila lolote

NB; NAHITAJI ALIYE SERIOUS TU. ukiona hauko serious na hili jambo basi naomba tu ukae pembeni. Kama umekidhi vigezo na una Nia thabiti kabisa. You are welcome (PM).
Kwa mtoto wa kiume wa kikristo RC hiyo miaka ndio kwanza gari linawaka labda uwaruhusu na waislamu nao watume maombi, btw kila la heri.
 
Hata boy friend hauna ????
JamiiForums2014152030.jpg
 
Habari za wakati huu, mpaka Sasa bado sijafanikiwa kumpata mwenza wa kuanza nae safari ya maisha. Wengi wanaokuja ni waume za watu, ma play boy wasiojiheshimu. Wengine wanahisi mtu hauko serious, wakati mtu una Nia thabiti kabisa. Labda sijaandika vizuri ombi langu na jinsi ya kujielezea.

SIFA BINAFSI
umri wangu ni miaka 25
Dhehebu langu RC
Nipo dsm
Nimejiajiri
Rangi yangu mweusi
Sina mtoto, sijawahi kuolewa, sijawahi toa mimba.
Nipo serious katika hili.
Kuja Hapa si kwamba, sifai la hasha, Bali kulingana na mazingira yangu sipati mtu ninayemuhitaji Mimi.

SIFA ZA BOYFRIEND.
Awe na miaka 28 mwsho 30
Awe na kazi au kitu kinachomuingizia kipato. (Sina Nia mbaya).
Awe mkoa wowote sawa
Awe mkristo (itapendeza zaidi akiwa RC)
Awe mrefu lakini si Sana
Asiwe mume wa mtu
Awe rangi yoyote
Awe kabila lolote

NB; NAHITAJI ALIYE SERIOUS TU. ukiona hauko serious na hili jambo basi naomba tu ukae pembeni. Kama umekidhi vigezo na una Nia thabiti kabisa. You are welcome (PM).
Allah akupe sawa na jitaji lako
 
Ungesogeza kidogo Kigezo cha umri angalau 25-38
 
Binti utapuyanga sana kuweka vigezo zaa wa kwako . Ukitaka wanaooa ni kuanzia 40 below that bado sana
 
Back
Top Bottom