joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wakati naangalia airtel rise star akon mwanzoni alikuwa anahojiwa kabla ya shindano alisema "sipo hapa kujaji sauti bali nipo Hapa kumchagua mtu atakaye ni burudisha" na hata master Jay anawambiaga washiriki wa BSS unaweza kumfundisha mtu kuimba ila likija swala la burudani hiyo ni kitu huwezi kumfundisha mtu. Hapo ndipo anawakamata watu diamond sauti ya kuimba anayo nzuri sio kivile ila ukija upande wa burudani umelipa kiingilio chako mond yupo vizuri lakini, hata bella anakuambia mond ana melody nzuri na ndio maana kaurudia nyimbo ya ukimwoma