Bado sijajua watu wanaupendea nini muziki wa Diamond

Bado sijajua watu wanaupendea nini muziki wa Diamond

Wakati naangalia airtel rise star akon mwanzoni alikuwa anahojiwa kabla ya shindano alisema "sipo hapa kujaji sauti bali nipo Hapa kumchagua mtu atakaye ni burudisha" na hata master Jay anawambiaga washiriki wa BSS unaweza kumfundisha mtu kuimba ila likija swala la burudani hiyo ni kitu huwezi kumfundisha mtu. Hapo ndipo anawakamata watu diamond sauti ya kuimba anayo nzuri sio kivile ila ukija upande wa burudani umelipa kiingilio chako mond yupo vizuri lakini, hata bella anakuambia mond ana melody nzuri na ndio maana kaurudia nyimbo ya ukimwoma
 
Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB ila cha kushangaza hawapendwi(muziki wao).

Sasa nashindwa kuelewa inakuwaje?? Mfano huyu Diamond miziki yake ni ya kawaida tu lakini raia wanamshobokea vibaya sana, kila ngoma anayotoa inakuwa ni national anthem lakini nikisikiliza mi naona ni miziki tu ya kawaida ambayo hata kwenye flash au laptop au memory card yangu siwezi kuweka.

Sijajua watu ni kwamba hawajui muziki au ni nini tatizo au ni ufreemason na uganga wa kupumbaza watu?? Kama ni mganga basi ni kiboko aisee, nasema ukweli ngoma za jamaa ninazozikubali ni Nitarejea na kesho, basi!
Kumbe ww mwenyewe unamkubali kiaina acha unazi[emoji13]
 
A.k.a ushirikina
Watu wanaomini ushirikina unatumika hata mtu anapojituma, wao pia ni washirikina kupitiliza hata jongoo, wakimkuta ameingia ndani tu utawasikia sio bure ametumwa huyu. Hawa wote hakuna mwenye ushahidi na wanachoandika, vijana mpongezeni aliefanikiwa. Kama ushirikina dili na linaleta mafanikio ambayo Diamond anayo naomba mnipeleke kwa mganga huyo, maana fedhe ya ushirikina watu hudai hutumika kwa masharti ila ya Diamond naona haina akitaka totozi, kupanda ndege, kujenga nyumba mzuri, kuvaa vizuri, kula vizuri, kumuliki gari zuri nakuindesha mwenye. Ushirikina huu hata nauhitaji maana pesa ukupe unachokita.
 
Utawaweza mkuu waswahili! Ni wavivu mpaka wa kufikiri Tu! Kitu ambacho hakikupunguzii chochote kukifanya
 
Wakati naangalia airtel rise star akon mwanzoni alikuwa anahojiwa kabla ya shindano alisema "sipo hapa kujaji sauti bali nipo Hapa kumchagua mtu atakaye ni burudisha" na hata master Jay anawambiaga washiriki wa BSS unaweza kumfundisha mtu kuimba ila likija swala la burudani hiyo ni kitu huwezi kumfundisha mtu. Hapo ndipo anawakamata watu diamond sauti ya kuimba anayo nzuri sio kivile ila ukija upande wa burudani umelipa kiingilio chako mond yupo vizuri lakini, hata bella anakuambia mond ana melody nzuri na ndio maana kaurudia nyimbo ya ukimwoma
Wewe hujitambui,kwa hiyo kwa kuwa ulisikia hivo basi umekalili!? Usiishi kwa kukalili kwamba fulani alisema nini
 
Mwanaume kama wewe mwenye wivuuuu...kwetu huwa tunasema mbombo ngafuuuu
 
[QsUOTE="juvenile davis, post: 16126341, member: 284350"]Wewe hujitambui,kwa hiyo kwa kuwa ulisikia hivo basi umekalili!? Usiishi kwa kukalili kwamba fulani alisema nini[/QUOTE]

Sawa ww mwenzangu unayejitambua ila mwisho wa siku nyeupe ni nyeupe na nyeusi.Siku njema KILAZA
 
unahisi ili uwe msanii unayekubalika unahitaji kuwa na vitu gani?.... ukashavijua utajua kwanini diamond anatamba na sio rama dee..

kingine ni kwamba wewe kumpenda rama dee sio lazima watu wote wampende
 
Back
Top Bottom