Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Wa kufa na kuzikana😳😂😂😂🙉mbona haraka ivo?,kwani tutaishi kwa muda gani kwenye ndoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kufa na kuzikana😳😂😂😂🙉mbona haraka ivo?,kwani tutaishi kwa muda gani kwenye ndoa?
Sawa,ngoja nije kesho nikutolee posa, nivae VIP?Wa kufa na kuzikana
😳 Wewe mwanamke unasema unifanyeje ?Sawa,ngoja nije kesho nikutolee posa,
📌🔨 👏👏👏Ngoma kali kutoka kwa Rihanna
- Fading
- Put it up
- Wild thoughts
- The monster
- Fly
- No love allowed
- Love the way you lie
- Man down
- Needed me
- What now
- What's my name
- Work
- Teamo
- Lemon
- Royalty
- Unfaithful
- Rehab
- We ride
- Live your life
- Run this town
- Talk that talk
- This is what you came for
- We found love
- Hate that I love you
- Bitch better have my money
- Umbrella
- Where have you been
- Rude boy
- Diamonds
- Stupid in love
Niendelee ? Rihanna ni Queen uzi ufungwe
Kutolee posa kipenz,au unayo hela uje utoe kwetu?😘😘😳 Wewe mwanamke unasema unifanyeje ?
Mkuu Taylor Swift ni sweetheart wa wazungu, rekodi anazopiga kwa sasa hamna anayeweza kukimbizana naye. Nimefanya research ndogo tu kwa haraka kuhusu namba zake:Leta numbers hizo ?
Ukali wa ngoma, hits, performance, tuzo, mafanikio, umaarufu n.k weka pembeni hapa baadae tutazungumzia
Naikubali sana ngoma yake ya bad blood na ile kaimba na zayn i don't wanna live forever...Hivi huyo Taylor swift anaimba aina gani ya mziki maana sifahamu ngoma yake hata moja ila anasifiwa na wengi. Anaye jua hits zake hata 5 anifahamishe hapa chini ?
Huyu demu bhana nimeanza kumfahamu zamani na ngoma zake nazijuajua ila sijawahi kumkubaligi, labda hio Blank space kidogo sana....namuonaga kama hana kitu cha kumtofautisha na wasanii wakike wengine, yaan yupo kama karatasi nyeupe, japokuwa ana mashabiki wengi na most of them ni wanawake.Taylor mwanzo alikuwa anaimba Country, ila 2014 akafanya transformation kwenda kwenye Pop kwa kutoa album ya 1989!
Ngoma zake kubwa ni pamoja na Blank Space, Shake it off, Cruel Summer, Style na ngoma ya karibuni inayofanya vizuri ni Anti-Hero toka kwenye Album ya Midnight aliyoitoa mwaka jana October!
Kifupi Taylor Wengi wanamconsider kama Music Industry, ameweza kuvunja records nyingi pamoja na kupata tuzo lukuki. Tour yake aliyoipa jina la Eras Tour imempa mafanikio makubwa huku mapato yake yakikadiriwa kufikia usd 1b na zaidi baada ya Tour kuisha.
Pia mpaka sasa ana monthly listeners takribani milion 101, huku akishika nafasi ya pili baada ya The Weeknd.
Sheria zao ngumuHata celin dion alkua wamoto hatar lakn saiv 🙄
Queen sio msanii, ni Band na lead singer wao alikuwa anaitwa Freddy Mercury.Sio huyo tu pengine Hufahamu wasanii wengi wa USA maarufu, sisi Africa tuna Genre zetu Hip hop, Pop na R&B, wasanii tunao wajua ni Hizo genre, ila genre nyengine kama Rock hizo Country, Jazz na nyenginezo hatuna mda nazo.
Angalia msanii kama Queen ni maarufu kama Michael jackson Usa ila naamini asilimia 99 ya Watanzania hawamjui,
Hivyo vyote ni uchafu mbele ya Rihanna . Unafahamu ukubwa wa Rihanna kweli ni wa kumlinganisha na hako ka binti seriously ?Mkuu Taylor Swift ni sweetheart wa wazungu, rekodi anazopiga kwa sasa hamna anayeweza kukimbizana naye. Nimefanya research ndogo tu kwa haraka kuhusu namba zake:
Sisikilizi sana nyimbo zake maana mimi mtu wa hip hop ila kwenye numbers ni wasanii wachache sana wanaweza kushindana na Taylor Swift. Kuna kona nyingine za dunia huwaambii kitu kuhusu huyo mwanadada.
- Ana tuzo 603, nominations 1199, kati ya hizo grammy ni 12.
- Ndio msanii wa kike aliyekaa billboard namba moja kwa muda mrefu (Wiki 63)
- Ameuza jumla ya nakala 114m.
- Album yake ya Fearless (Mwaka 2009) ipo certified diamond ni album 29 tu kutoka kwa wasanii wa kike zimeweza kufikia rekodi hiyo.
- Tour yake inayoisha mwakani inategemewa ndio kuwa tour ya kwanza duniani kuingiza dola bilioni 1.
- Album yake ya Anti hero iliyotoka mwaka jana iliweka rekodi ya kiwa album ya kwanza kuweka nyimbo top 10 yote.
Pesa sio suala la kuuliza kwa wanaume kamili kama sisi mpaka za mashangazi na wajomba zipoKutolee posa kipenz,au unayo hela uje utoe kwetu?😘😘
Asipoelewa hapa ndo basi tenaMkuu Taylor Swift ni sweetheart wa wazungu, rekodi anazopiga kwa sasa hamna anayeweza kukimbizana naye. Nimefanya research ndogo tu kwa haraka kuhusu namba zake:
Sisikilizi sana nyimbo zake maana mimi mtu wa hip hop ila kwenye numbers ni wasanii wachache sana wanaweza kushindana na Taylor Swift. Kuna kona nyingine za dunia huwaambii kitu kuhusu huyo mwanadada.
- Ana tuzo 603, nominations 1199, kati ya hizo grammy ni 12.
- Ndio msanii wa kike aliyekaa billboard namba moja kwa muda mrefu (Wiki 63)
- Ameuza jumla ya nakala 114m.
- Album yake ya Fearless (Mwaka 2009) ipo certified diamond ni album 29 tu kutoka kwa wasanii wa kike zimeweza kufikia rekodi hiyo.
- Tour yake inayoisha mwakani inategemewa ndio kuwa tour ya kwanza duniani kuingiza dola bilioni 1.
- Album yake ya Anti hero iliyotoka mwaka jana iliweka rekodi ya kiwa album ya kwanza kuweka nyimbo top 10 yote.
Ila we jamaa ni mbishi sana 😅Hivyo vyote ni uchafu mbele ya Rihanna . Unafahamu ukubwa wa Rihanna kweli ni wa kumlinganisha na hako ka binti seriously ?
With sales of over 250 million records worldwide, Rihanna is the second-best-selling female music artist of all time and the highest-certified female artist of all time on the RIAA's Top Artists (Digital Singles) ranking.
Pesa sio suala la kuuliza kwa wanaume kamili kama sisi mpaka za mashangazi na wajomba zipo
Sio ubishi leta numbers hapa unipingeIla we jamaa ni mbishi sana 😅
Mi mwenyew nampenda sana Rihanna ila linapokuja kweny suala la namba, kwa sasa Taylor yupo juu ya Rihanna.
Bora nimsikikize Dua Lipa kuliko Taylor SwiftAsipoelewa hapa ndo basi tena
View attachment 2794999
Ushapewa namba za kutosha ila bado unabisha.Sio ubishi leta numbers hapa unipinge
Kama unamuelewa Dua wewe unajua muziki [emoji3]Bora nimsikikize Dua Lipa kuliko Taylor Swift
Numbers gani za kutosha wamenipa kuonesha huyo manzi yupo juu ya riri ?Ushapewa namba za kutosha ila bado unabisha.