Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

πŸ“ŒπŸ”¨ πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Leta numbers hizo ?

Ukali wa ngoma, hits, performance, tuzo, mafanikio, umaarufu n.k weka pembeni hapa baadae tutazungumzia
Mkuu Taylor Swift ni sweetheart wa wazungu, rekodi anazopiga kwa sasa hamna anayeweza kukimbizana naye. Nimefanya research ndogo tu kwa haraka kuhusu namba zake:
  • Ana tuzo 603, nominations 1199, kati ya hizo grammy ni 12.
  • Ndio msanii wa kike aliyekaa billboard namba moja kwa muda mrefu (Wiki 63)
  • Ameuza jumla ya nakala 114m.
  • Album yake ya Fearless (Mwaka 2009) ipo certified diamond ni album 29 tu kutoka kwa wasanii wa kike zimeweza kufikia rekodi hiyo.
  • Tour yake inayoisha mwakani inategemewa ndio kuwa tour ya kwanza duniani kuingiza dola bilioni 1.
  • Album yake ya Anti hero iliyotoka mwaka jana iliweka rekodi ya kiwa album ya kwanza kuweka nyimbo top 10 yote.
Sisikilizi sana nyimbo zake maana mimi mtu wa hip hop ila kwenye numbers ni wasanii wachache sana wanaweza kushindana na Taylor Swift. Kuna kona nyingine za dunia huwaambii kitu kuhusu huyo mwanadada.
 
Hivi huyo Taylor swift anaimba aina gani ya mziki maana sifahamu ngoma yake hata moja ila anasifiwa na wengi. Anaye jua hits zake hata 5 anifahamishe hapa chini ?
Naikubali sana ngoma yake ya bad blood na ile kaimba na zayn i don't wanna live forever...
 
Huyu demu bhana nimeanza kumfahamu zamani na ngoma zake nazijuajua ila sijawahi kumkubaligi, labda hio Blank space kidogo sana....namuonaga kama hana kitu cha kumtofautisha na wasanii wakike wengine, yaan yupo kama karatasi nyeupe, japokuwa ana mashabiki wengi na most of them ni wanawake.
 
Queen sio msanii, ni Band na lead singer wao alikuwa anaitwa Freddy Mercury.
 
Hivyo vyote ni uchafu mbele ya Rihanna . Unafahamu ukubwa wa Rihanna kweli ni wa kumlinganisha na hako ka binti seriously ?


With sales of over 250 million records worldwide, Rihanna is the second-best-selling female music artist of all time and the highest-certified female artist of all time on the RIAA's Top Artists (Digital Singles) ranking.
 
Asipoelewa hapa ndo basi tena
 
Ila we jamaa ni mbishi sana πŸ˜…

Mi mwenyew nampenda sana Rihanna ila linapokuja kweny suala la namba, kwa sasa Taylor yupo juu ya Rihanna.
 
Bora nimsikikize Dua Lipa kuliko Taylor Swift
Kama unamuelewa Dua wewe unajua muziki [emoji3]
Wabongo wamekariri story za akina Rihanna tu.
Ile Future Nostalgia ya Dua ni vyuma vitupu mle, na ndo album yenye streams nyingi kwa wasanii wa kike kama 11bilion!
 
Ushapewa namba za kutosha ila bado unabisha.
Numbers gani za kutosha wamenipa kuonesha huyo manzi yupo juu ya riri ?

Hapa ni Numbers zinaongea leta numbers kama hivi

With sales of over 250 million records worldwide, Rihanna is the second-best-selling female music artist of all time behind Madonna and the highest-certified female artist of all time on the RIAA's Top Artists (Digital Singles) ranking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…