Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Ondoa maandishi meusi yananiumiza macho Bro au ndo Swagga?
 
I second u[emoji419]
 
Rihanna hata aseme leo atoe nyimbo basi itabamba kwenye kila platform ya mziki unayoijua wewe.
 

Dalili zinaonesha Taylor Swift anapambaniwa kuwa the next big thing yani afunike kila record iliyowahi kuwekwa na hawa black artist waliotawala muziki kama whitney au Mj.

Nakumbuka kuna kipindi watu walitaka kumfananisha na whitney, internet iliwaka moto kwa sababu in reality, hana hata nusu ya talent ya Mariah Carey kama Producer, writer and singer.

Taylor atafika mbali sanaaaaa maana bado umri unamruhusu Ila kufikia ile level ya heshima kama whitney, Mariah or celine ni ngumu kwa sababu, sio pure talent
 
Unazingua
 
Lady gaga ni entertainer tu. Mtumbuizaji

Ushawahi kuangalia zile national anthem kwa Super Bowl. Ya Lady Gaga huwa rated kwa ukubwa baada ya whitney houston ambayo ndio inakubalika kama the best of all time

Gaga ni singer, producer, writer , awarded actress, etc

Achana nae mkuu
 
Taylor swift 🤡 anajina maarufu kuliko mziki wake

Nitajie worldwide hitsong moja tu ya huyo manzi ?

Mimi nakutajia tatu tu za Rihanna zengine naacha
  • Man down
  • Work
  • What's my name
Shake It Off
Blank Space
Anti-Hero
Back to December
You Belong with Me
Love story
Don’t Wanna Live Forever’ with Zayn
Bad blood
Hizo zote zina zaidi ya stream bilion kila moja na zina tuzo kibao tu
 
Ushawahi kuangalia zile national anthem kwa Super Bowl. Ya Lady Gaga huwa rated kwa ukubwa baada ya whitney houston ambayo ndio inakubalika kama the best of all time

Gaga ni singer, producer, writer , awarded actress, etc

Achana nae mkuu
Fundi sana
 
Shake It Off
Blank Space
Anti-Hero
Back to December
You Belong with Me
Love story
Don’t Wanna Live Forever’ with Zayn
Bad blood
Hizo zote zina zaidi ya stream bilion kila moja na zina tuzo kibao tu

Run this town
Man down
What’s my name (her all time best)
Rude boy
Diamonds
 
Mwakani anatarajia kufanya tour yake ya kwanza baada ya ukimya wa mda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…