Taylor mwanzo alikuwa anaimba Country, ila 2014 akafanya transformation kwenda kwenye Pop kwa kutoa album ya 1989!
Ngoma zake kubwa ni pamoja na Blank Space, Shake it off, Cruel Summer, Style na ngoma ya karibuni inayofanya vizuri ni Anti-Hero toka kwenye Album ya Midnight aliyoitoa mwaka jana October!
Kifupi Taylor Wengi wanamconsider kama Music Industry, ameweza kuvunja records nyingi pamoja na kupata tuzo lukuki. Tour yake aliyoipa jina la Eras Tour imempa mafanikio makubwa huku mapato yake yakikadiriwa kufikia usd 1b na zaidi baada ya Tour kuisha.
Pia mpaka sasa ana monthly listeners takribani milion 101, huku akishika nafasi ya pili baada ya The Weeknd.