Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Bado sijaona wa kumzidi Rihanna

Dalili zinaonesha Taylor Swift anapambaniwa kuwa the next big thing yani afunike kila record iliyowahi kuwekwa na hawa black artist waliotawala muziki kama whitney au Mj.

Nakumbuka kuna kipindi watu walitaka kumfananisha na whitney, internet iliwaka moto kwa sababu in reality, hana hata nusu ya talent ya Mariah Carey kama Producer, writer and singer.

Taylor atafika mbali sanaaaaa maana bado umri unamruhusu Ila kufikia ile level ya heshima kama whitney, Mariah or celine ni ngumu kwa sababu, sio pure talent
What do you mean Taylor is not pure talent?

How can you call a person who writes her OWN songs not a pure talents

Wait, what is a pure talent to you?
 
Let's judge artists based on talents not numbers.

Numbers can be manipulated. Someni kitu kimoja kinaitwa PAYOLA in US and streaming farms in Nigeria. Au mmesahau Harmonize alivyokuwa anatumia maroboti kuongeza views.

Ukienda on YouTube na Boomplay, Zuchu ana numbers nyingi kuliko Tems but does it mean Zuchu is more talented than Tems. Jibu utakuwa ushalipata nadhani.

That being said, Rihanna may have more numbers than Taylor Swift overall but when it comes to talent. Taylor amemuacha mbali Sana Rihanna.

Hits nyingi za Rihanna kaandikiwa. Work, Diamonds, Love On The Brain, Lift Me Up etc but Taylor most of her hit songs anaandika mwenyewe. Hizo ni facts.

Rihanna is a MANUFACTURED artist. She can't write yupo yupo tu but Taylor is a writer, producer na juzi juzi tu Hapa ametoka ku-direct a short film ya kuitwa ALL TO WELL.

Kuna publicist mmoja, a few MONTHS ago alikiri kuwa he had to create a rumor kipindi kile Rihanna anatoa her first album ionekane kuwa Rihanna anatembea na Jay Z ili atrend na ndo maana nasema Rihanna is an industry PLANT.

Taylor is a full package na ndo maana hata album yake ya kwanza hakuhitaji mbwembwe nyingi. Lebo yake ya kipindi kile BIG MACHINE RECORDS ilikuwa ni ndogo but based on her talent alone and minimal promotion watu wakapenda mziki wake, akaingia mjini.

Sasa mnasemaje hawa watu ni sawa?

Nimalizie kwa kusema MKOME tena MKOME kumfananisha Rihanna na Taylor.

Nawasilisha.
 
What do you mean Taylor is not pure talent?

How can you call a person who writes her OWN songs not a pure talents

Wait, what is a pure talent to you?

Umeelewa nilichosema mkuu

Uzuri hujaongelea her "Vocal capability" Maana unajua kuwa she is average

Na nilipoongelea "pure talent" Sikumaanisha hana ila sio outstanding naturally compared to Whitney, Mariah and Celine

Na nilipoongelea nguvu iliyopo behind her nilimaanisha ile ile inayowa favour wasanii wazungu kwenye soko la muziki. Na ukitaka kulijua hilo, angalia wasanii weusi ili waweze kufanikiwa lazma kwa kiasi fulani wafurahishe "white audience"

Mfano Mzuri ni beyonce, baada ya kutoa "lemonade", album ambayo ilikuwa too "black". Hadi leo in terms of numbers, beyonce kadrop

What about Taylor,

Angalia vile SZA kavunja rekodi billboards ila album yake imemfikisha wapi kwenye awards

Unaweza sema SZA is not a good writer or singer compared to Taylor aliyechukua tuzo za kumwaga huko MTV

That's what I meant
 
Bad girl riri is the best ni vile tu hanaga Maslow off kama wasanii wengine wa kike kama kina beyonce. She is very simple.
 
Taylor swift kinachombeba ni ethnicity yake. Yeye ni mzungu hivyo wazungu lazima wampush kivyovyote vile afike juu. Lakini kipaji tu Hana cha kuwazidi mablack kama Whitney huston, Mary jane,Riri, Beyonce, Ciara etc.
 
Hatimaye nafasi iliyoshikiliwa muda mrefu na The Weeknd imepata mrithi wake, Kwa sasa Taylor ndiye msanii anayesikilizwa zaidi Spotify akiwa na monthly listeners zaidi ya 105m.
Screenshot_2023-11-04-12-53-48-90_0438eb925998df20b3482ec25499d226.jpg
 
Back
Top Bottom