Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,133
What do you mean Taylor is not pure talent?Dalili zinaonesha Taylor Swift anapambaniwa kuwa the next big thing yani afunike kila record iliyowahi kuwekwa na hawa black artist waliotawala muziki kama whitney au Mj.
Nakumbuka kuna kipindi watu walitaka kumfananisha na whitney, internet iliwaka moto kwa sababu in reality, hana hata nusu ya talent ya Mariah Carey kama Producer, writer and singer.
Taylor atafika mbali sanaaaaa maana bado umri unamruhusu Ila kufikia ile level ya heshima kama whitney, Mariah or celine ni ngumu kwa sababu, sio pure talent
How can you call a person who writes her OWN songs not a pure talents
Wait, what is a pure talent to you?