Unasemeje
JF-Expert Member
- Apr 29, 2021
- 249
- 923
Binafsi nilitarajia msimu huu tutafumua kikosi na kuunda upya kwa kusajili makinda wanaofanya vizuri kwenye vilabu vikubwa, kuanzia walinzi, viungo na washambuliaji.
Hii ingetusaidia sana kwa misimu hata 4 mfululizo. Kwa usajili huu wa kuwarudisha waliofeli maisha ya soka na kuokota goli kipa toka ligi ya 3 brazil aliyecheza mechi 13 na kuruhusu magoli 17 nadhani msimu huu hautafana.
Mo hizo pesa zako unazifanyia nini?