Kweli kabisa mkuu, mm Simba ila naona Yanga wamejipanga sana.Binafsi naona Yanga imesajili kimkakati kuliko Simba.
Kwani timu kubwa zote ni lazima kila msimu ichukue kombe,mbona husemi kipindi inachukua mataji mfululiziloWaliopo wameshindwa kutupa mataji misimu 2 mfululizo, sasa unategemea watakuwa na maajabu gani?
Huko Utokolo mna hazina kubwa sana ya vilazaBinafsi nilitarajia msimu huu tutafumua kikosi na kuunda upya kwa kusajili makinda wanaofanya vizuri kwenye vilabu vikubwa, kuanzia walinzi, viungo na washambuliaji.
Hii ingetusaidia sana kwa misimu hata 4 mfululizo. Kwa usajili huu wa kuwarudisha waliofeli maisha ya soka na kuokota goli kipa toka ligi ya 3 brazil aliyecheza mechi 13 na kuruhusu magoli 17 nadhani msimu huu hautafana.
Mo hizo pesa zako unazifanyia nini?
Msimu miwili Simba haijafanya vibaya ila mpinzani wake alikuwa kwenye peak. Labda useme tunahitaji taji la kimataifa na wachezaji hawa hawawezi kutupa.Waliopo wameshindwa kutupa mataji misimu 2 mfululizo, sasa unategemea watakuwa na maajabu gani?
Ingependeza kama ungetaja hao makinda kwa majina yao matatu, vilabu wanavyotoka na umri waoBinafsi nilitarajia msimu huu tutafumua kikosi na kuunda upya kwa kusajili makinda wanaofanya vizuri kwenye vilabu vikubwa, kuanzia walinzi, viungo na washambuliaji.
Hao wote siyo lazima wawe mawinga.Simba Wamesajili kimihwmuko.
ANGALIA idadi ya mawinga.
1. Miquesson.
2. CHAMA.
3. Saido.
4. Kramo.
5. KIBU.
6 . Opnana.
7. Phili.
Ona hii kengeHii Yanga isiyo na kiungo wa pasi za magoli
Isiyo na fowadi wa maana
Isiyo na kiungo wa ulinzi wa maana
Isiyo na Hela
Ikijitahidi saaana itashika nafasi ya 4 kwenye Ligi