Bado Sukuma Gang wanakomeshwa? Umeme na maji unakatwa Sukuma Gang pekee yao? Maji yanakatwa kwa Sukuma Gang tu?

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Mara baada ya Hayati Magufuli kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia sana.

Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa.

Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa.

Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
 
Sikuwahi kuwaza kua ktk utu uzima huu ipo siku itanibidi nichague kati ya kuoga kabla ya kulala au kuoga baada ya kuamka. Anyway wacha tunyooshwe, we have been taking too many things for granted.
 
Sikuwahi kuwaza kua ktk utu uzima huu ipo siku itanibidi nichague kati ya kuoga kabla ya kulala au kuoga baada ya kuamka...anyway wacha tunyooshwe, we have been taking too many things for granted.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara baada ya Jpm kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana

Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa

Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Na bado
Acha sindano ziingiee vizr

Sisi tuliotoa uchief wetu kwa Hangaya hatuna habari

Wacha maneno Wekaa Deplomasia ya Uchumi

Kumbe ndio hii ya gharama za maisha kuongezeka .

Jpm ukowapi Mwamba miaka mitano hakujawai kupanda bei hata pipi kali.
Yule jamaa wa Tanesco Alitaka kupandisha umeme kapigwa chini.
Naona karudishwa
 
Mara baada ya Jpm kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana

Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa

Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Sukuma gang mnakomeshwa ,hayo uliyoandika Ni ya kujifariji tuu..

Lini umesem ulikuwa haukati hapa Tanzania wewe msukule?

Mvua zimeanza kunyesha kufika January hakuna shida ya maji Tena..

Kinachoitwa mfumuko wa Bei hakipo maana tunafaidi raha ya kulima na kuuza..

Bwana Sukuma gang Ni hivi kwa sasa kila zao Ni hela,kila mfugo ni.pesa tofauti na Jiwe ilikuwa Ni laana kuwa mkulima au mfanyabiashara hapa Tzn.
 
Kazana sana mama, unaipenda sana kazi yako ya hapa JF na unaifanya kwa moyo
 
Hakitokei kitu wabongo mnalalaamika hivi siku zote hata Rais awe nani. Kikwete mlisema dhaifu, JPM vyuma vimekaza, Sasa Mama bado mnaimba wimbo ule ule. Mama anaupiga mwingi twende nae Hadi 2030 inshallah.
Twende nae bila kuoga?
 
Watanzania wametiwa kila aina ya kidole,ila huu sasa walio tia ni mkono.
 
Sikuwahi kuwaza kua ktk utu uzima huu ipo siku itanibidi nichague kati ya kuoga kabla ya kulala au kuoga baada ya kuamka...anyway wacha tunyooshwe, we have been taking too many things for granted.
Hahahahahah na Dar ilivyo na joto yaani unaenda ofisini na bonge la kikwapa.
 
Back
Top Bottom