Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwahi kuwaza kua ktk utu uzima huu ipo siku itanibidi nichague kati ya kuoga kabla ya kulala au kuoga baada ya kuamka...anyway wacha tunyooshwe, we have been taking too many things for granted.
Hii serikali imechoka na nina uhakika tuendako lolote laweza kutokea
Na badoMara baada ya Jpm kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Sukuma gang mnakomeshwa ,hayo uliyoandika Ni ya kujifariji tuu..Mara baada ya Jpm kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Kazana sana mama, unaipenda sana kazi yako ya hapa JF na unaifanya kwa moyoSukuma gang mnakomeshwa ,hayo uliyoandika Ni ya kujifariji tuu..
Lini umesem ulikuwa haukati hapa Tanzania wewe msukule?
Mvua zimeanza kunyesha kufika January hakuna shida ya maji Tena..
Kinachoitwa mfumuko wa Bei hakipo maana tunafaidi raha ya kulima na kuuza..
Bwana Sukuma gang Ni hivi kwa sasa kila zao Ni hela,kila mfugo ni.pesa tofauti na Jiwe ilikuwa Ni laana kuwa mkulima au mfanyabiashara hapa Tzn.
SaaaanaKazana sana mama, unaipenda sana kazi yako ya hapa JF na unaifanya kwa moyo
Twende nae bila kuoga?Hakitokei kitu wabongo mnalalaamika hivi siku zote hata Rais awe nani. Kikwete mlisema dhaifu, JPM vyuma vimekaza, Sasa Mama bado mnaimba wimbo ule ule. Mama anaupiga mwingi twende nae Hadi 2030 inshallah.
Labda kama haina jeshiHii serikali imechoka na nina uhakika tuendako lolote laweza kutokea
Hahahahahah na Dar ilivyo na joto yaani unaenda ofisini na bonge la kikwapa.Sikuwahi kuwaza kua ktk utu uzima huu ipo siku itanibidi nichague kati ya kuoga kabla ya kulala au kuoga baada ya kuamka...anyway wacha tunyooshwe, we have been taking too many things for granted.