Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Wamisha mhola!!Mara baada ya Jpm kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Sukuma Gang mnatapatapa sana kama vipi mfuateni mfu wenu huko jehanamMara baada ya Jpm kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Kwani huyo dhalim wenu mwendazake alikuwa na uwezo wa kunyesha mvua?Twende nae bila kuoga?
Huu upumbavu mtaacha lini?Mara baada ya JPM kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Sie tulikuwa tunaona mvua tu sasa hatujui kama ye dhalimu ndio alikuwa ananyesha.Kwani huyo dhalim wenu mwendazake alikuwa na uwezo wa kunyesha mvua?
mvua za masika zikianza hili suala la maji litaisha na tutalisahau, tutaanza kupambana na madimbwi ya katikati ya jiji la Dar es salaam.Sikuwahi kuwaza kua ktk utu uzima huu ipo siku itanibidi nichague kati ya kuoga kabla ya kulala au kuoga baada ya kuamka...anyway wacha tunyooshwe, we have been taking too many things for granted.
CCM MBELE KWA MBELEMara baada ya JPM kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
CCM MBELE KWA MBELE Wapinzani walichelewesha sana maendeleo.Sikuwahi kuwaza kua ktk utu uzima huu ipo siku itanibidi nichague kati ya kuoga kabla ya kulala au kuoga baada ya kuamka...anyway wacha tunyooshwe, we have been taking too many things for granted.
WAPINZANI WALICHELEWESHA SANA MAENDELEO,Alisema yule wakala wa Lucifer mtesa watu.Hii serikali imechoka na nina uhakika tuendako lolote laweza kutokea
Sabaya sio sukuma gang
Kwani maziwa na visima vimekauka?ukweli ni kwamba hii serikali ni ovyo sanaUKAME HAUJALETWA NA SERIKALI.
Mbona hamuelewi enyi watanga na nyika
Madelu anasema mtazoea tu.Mara baada ya JPM kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Twende nae bila kuoga?
Wanabodi,Mara baada ya Hayati Magufuli kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia Sana
Sabaya alivyokamatwa walishangilia wakasema Sukuma Gang wanakomeshwa
Akina Kabudi walipoondolewa pamoja na akina Ndugai wakasema Sukuma gang wanakomeshwa
.
Swali langu vipi mlioimba wimbo wa Sukuma Gang mnaendeleaje huko bado wanakomeshwa?
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Hapa nakuunga mkono!.Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Kemea kwanza mambo ya Magufuri hapo tutakuunga mkono,lakini kama itikadi za Magufuri zinakutawala basi wewe utaendelea kuwa Sukuma Gang kwa sababu yeye aliamini katika uharibifu kwa watu wale ambao hakuwapenda.Alikuwa mtu wa sifa na visasi visivyoisha kwa wale wote ambao walienda kinyume naye na ndiyo maana akawaharibia sifa Wasukuma.Si kweli kwamba Wasukuma wote ni wabaya,la hasha,ni kwa sababu tu Magufuri alionyesha ujinga fulani ambao ulibeza sehemu nyingine na kupendelea kwao hasa hasa Chato kitu ambacho hakijawahi fanyika hapa Tanzania na nchi hizi zinazotuzunguka kasoro Zaire ya Mabuto.Wanabodi,
As days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Hapa nakuunga mkono!.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.
Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.
Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.
Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.
Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang!. This is not fair at all!. Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!.
Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma!. Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!.
P