The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Trilioni 3 on top of the current collection?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮🚮SImnagawana hayo mapato nyie machawa na hao watawala wenu kenge nyie
Unamaanisha nini?Trilioni 3 on top of the current collection?
Tanzania Kupitia TRA inaenda Kuwapita Wakenya kwenye Makusanyo ya Kodi mwaka 2027 kwani Bado Shilingi Trilioni 3 Kuwafikia.
Hapo kabla Kenya ilikuwa imewekwa Gap la zaidi ya Trilioni 7 lakini juhudi za Serikali ya Samia kuhamasisha uwekezaji na ulipaji Kodi wa hiari zimeanza kuzaa matunda Kwa kupunguza gap kubwa lililokuwepo.
Kwa mujibu wa data rasmi kutoka taasisi hizo za Kodi ulinganishi niliodanya unaonesha kwamba Kwa kipindi Cha miezi 6 ya mwaka wa Fedha 2024/25,TRA imekusanya Shilingi Trilioni 16.5 huku KRA ya Kenya ikikushanya Kshs.1.07 (Tshs.20.T) sawa na tofauti ya Shilingi Trilioni 3.5 tuu.
View: https://x.com/BD_Africa/status/1881778910087557223?t=q-ekZhQFkuEuGSbCwr0NGg&s=19
View attachment 3212166
Kwa mikakati na uwekezaji Unaoendelea Nchini wa kufungua Nchi na hakika mwaka 2027 TRA itawapita Kenya na Kupeleka Kilimo kikubwa zaidi Kwa Kasongo yeye akiwa kwenye uchaguzi.
Mfano miradi ifuatayo ikianza kitema tuu basi wamekwisha.
1.Bomba la Mafuta la EACOP 2026,hapo Kuna zaidi ya Trilioni 1.
2.Ubungo Logistics Centre ,2025
3.Kukamilika Kwa mradi wa Mapipa ya Mafuta Bandari ya Dar 2026.
4.Kukamilika Kwa upanuzi wa Bandari za Dar,Mtwara ,Tanga Kilwa, Zanzibar na zile za Maziwa makuu 2027.
5.Kukamilika Kwa viwanja vya ndege zaidi ya 5 mwaka 2026
7.Utitiri na kumiminika Kwa wawekezaji hasa wa viwanda
8.Kupanuka Kwa Kasi Kwa sekta ya Utalii na Kilimo.
9.Kuanza Kwa biashara masaa 24 jijini Dar
10.Kuanza Kwa uzalishaji kwenye migodi mikubwa ya Madini hasa Kinywe Lindi na Karagwe/Kahama.
My Take
Samia ataandika historia ya kuwa Rais wa kwanza Kuipita Kenya kimapato mwaka 2027 lakini Kuipita Kiuchumi mwaka 2030.
View: https://www.instagram.com/p/DFLeLF6C3Su/?igsh=MWVwanRoZHFmbDNlZg==
eksichenji reti au sio haya poleSoma mada uelewe hapo nimefanya exchange rate ndio maana nikaja na hayo makadirio.
Kazi ya kuondoa hizo shida inaendelea Kwa Kasi sana . Ushahidi huu hapa 👇 👇Wananchi Mafukara
Kodi Hata Ikiwa Makusanyo Ni Makubwa Haina Maana
Maji Safi Na Salama Bado Shida Nchini
🚮🚮
Uko sahihi tunapata mgao wetu Kwa njia ifuatayo 👇👇
View: https://x.com/maji_mowi/status/1881725899156107501?t=WdraB0cvy4fZVIucHxBqoA&s=19
Kwamba Mimi ndio nililia kushinda Mwamba Mbowe na chawa wake Boni?Sasa nimeelewa ni kwanini uchaguzi wa TAL na Heche ulikutoa machozi.
Mradi hauna continuity ndio nini? 😂😂Miradi isiyokuwa na continuity haina maana. Mradi unajengwa kwa pesa nyingi ndani na miaka miwili ulishakufa.
Projects nyingi za hii serikali ya kifisadi ni White Elephant Projects.
Choke on it.
Matokeo ni zaidi ya extra ordinary across sectors na utambue kama Wananchi wako hoi kiuchumi Serikali isingepata hela .Lete matokeo ya hizo Kodi kwenye maisha ya wananchi wa Kila siku.
Bima ya afya
Elimu ( bodi ya mikopo). Shule zina madawati ?
Barabara wilayani
Umeme
Ajira zikoje Kwa vijana
Kama Kodi hazina matokeo Kwa hivyo nilivyotaja hata tukusanye matrilion 7000 ya dollar hakuna maana.
Mradi hauna continuity ndio nini? 😂😂
Mbona unatapatapa Mzee tatizo nini? Si ulisema tunagawana pesa saizi unabadili magoli? 😁😁
Bado hujasema Hadi useme.Hapa ni Lindi mabilioni Yako kazini Kwa Wananchi 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFLO6vhtNs0/?igsh=ODEwbXloMW9tZzYw
Ndicho nimezingatia Hadi takwimu za Jana 👇👇
View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1882315006026625305?t=mcdKn0CTCsIQwN3qgqYHag&s=19
Wapi huko Watoto Wenu wanakaa chini ikiwa Samia amemwaga pesa zinajwnga na madawati Juu?hayo makusanyo hayana faida kama mpaka leo watoto wana kaa chini ili wasome, wananchi wanauwa mamba ili wapate maji, nchi imejaa wachuuzi na si watengeneza bidhaa
Nilijua tuu Kwa kuwa huna hoja utakimbilia kutukana ,watu kama.nyie Huwa nawapenda sana 😂😂😂Huna akili wewe. Endelea na uchawa ndio akili yako inachoweza kufanya.
Una uhakika?Hizo kodi kuna walafi wanazimega
Hujui kitu wewe ,hesabu ulipata zero bila shaka.Tsh 1 trilion maana yake unaigawana kwa 19 upate KSH.
Tujitahidi hesabu zetu ziwe na uhalisia tunapotaka kufanya mashindano ya kweli.